Issa & Maggid,
Nilikuwa nyumbani napumzika huku nikitembelea chaneli mbalimbali za luninga. Eniwei, ghafla bin vuu nikakumbana na chaneli moja inaonesha kivumbi kati ya Connecticut na Indiana.
Sina vifaa vya nguvu, lakini niliweza kukamata kigodo huo mpambano. Nimeweka video kwenye blogu yangu ambayo mnaweza kuwaelekeza washabiki kwenye kiunganishi kifuatacho:

-- Metty

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Niliiona hii mechi na sikuona chochote kile chenye kuitwa mavituz. Kwanza alikuwa hakimbii kabisa. Difensi yake ilikuwa finyu sana.
    Dogo bado ana safari ndefu ili awe mchezaji mzuri. Ni vizuri sana alivyoamua kuendelea Uconn mwaka wa pili kwani angekwenda NBA angechezea benchi au D-ligi mpaka achoke.
    Bado mdogo, akiweka jitihada na akili vizuri atafanikiwa. Akumbuke kuwa kuna nafasi 450 za wachezaji na dunia nzima inagombea hizo hizo nafasi 450.

    ReplyDelete
  2. We anon wa kwanza kabisa hapo juu acha ushamba. Brother Metty anafanya marketing ya blog yake. kama unafuatilia comments za hapa blogin kuna dada mmoja alilalamika kuwa anataka kumwona hashim badala ya yule basketballer mwingine. Kwa hiyo mjanja kama Metty hapo anajua kuna demand ya habari za hashim na ameitumia vema opportunity hiyo.

    Well done Metty. I like smart people.

    ReplyDelete
  3. we anon wa juu kabisa pumba sana! we badala kumsupport dogo Hasheem unakuja unaanza kukandia! mifala mingine bwana sijui ikoje!! hiyo game basi timu ya kina Hasheem imeshinda alafu hasheem ana pointi kumi na mbili na baset zote alizoscore zote zilikuwa dunk alafu wewe unakurupuka tu huko ulipotoka kula mihogo yako na kachumbari unaanza kuropoka! hebu tuache kuongea ili mradi tuonekane tuna la kusema! ndio tatizo la kuruhusu wauza kahawa kuchangia maoni yao humu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...