Home
Unlabelled
bodi mpya benki kuu yazinduliwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
NADHANI WAKATI UMEFIKA BoT IWE NA BODI SIYO KOFIA MBILI YA UGAVANA NA MWENYEKITI WA BODI HIYO NDIYO ILIYOZAA MATUNDA YA WIZI TUNAOUJADILI WAKATI HUU.
ReplyDeleteMichu counter ya idadi ya wageni kwenye blog haionekani hapa kwenye kompu yangu umefanya makusudi ama ni wahuni wameiteka ili wajizolee dola 500. lete ufafanuzi!
ReplyDeletemdau finland
Huyu Meghji lazima na yeye yumo kundini! Huwezi kusema ulisiani documeny ambayo baada ya siku nne uka-withdraw! Inaonyesha kuna mtu alimstua kuwa achana na huo ulaji, muda si mrefu watu watatapika! Maana haiingii akilini kwa Waziri kusaini kitu eti kwa kigezo cha kuwa alishauriwa?!?! Ina maana yeye amekaa ofisini muda wote anasubiri kushauriwa badala ya kutumia akili zake mwenyewe?
ReplyDeleteHiyo itakuwa ni experimentation ya office ya serikali! Haiingii kichwani kabisa excuses zake, mpaka amefikia sehemu anadai eti kwa sababu yeye ni mwanamke ndo maana wanamwandama?!! Kama weakness iko kwa uanamke wake, basi aachane na kazi zinahitaji speed kubwa na nguvu za wanaume kama hiyo! Maana kusingizia eti kwa kuwa yeye ni mwanamke ndo maana wanamwandama, mimi sikumwelewa kabisa kabisa. Binafsi.
Lakini issues ni kwamba amehusika moja kwa moja na kosa. Kwa mfano, mimi siwezi kuiba kitu nikakamatwa na POLICE then niwaambie POLICE kuwa ati ngoja nirudishe hiki kitu ili mniachie maana sitakuwa na kosa!
Najua anazungukazunguka tu, lakini atalipuka tu. Ngoja Balali arudi.
Na wee michuzi pia umo kwenye timu ya mafisadi mshenzi wee. Kikwete kashirikiana na Balale kuiba mamilioni, tukielezea "conspiracy" yao, unakataa kutundika humu kwenye blog yako ya serikali. Lakini poa tuu, kitakapowaka Kikwete, Balale, Lowasa, wewe na wevi wengine wote tutawaweka kundi moja. Kama unadhania sisi mafala kwamba kikwete anang'ata halafu wewe unapuliza, basi wee subiti tuu.
ReplyDeleteMwongo huyo! Hkuwa bize wala nini, alikuwa anaogopa maswali.
ReplyDeleteHiyo bodi itasafishaje BOT wakati mikono ya Mngonja ni michafu? Au tunataniana hapa?
ReplyDeletehongera meghji kwa kazi yako, all the best
ReplyDeleteSio meghji tu aliye kwenye huo ulaji bali kuna vigogo wengi tu waliohusika. Kuna taarifa kwamba serikali imemficha balali kusikojulikana ili asije kutoa ushahidi kwa kuwa anayo hasira kwa kutajwa yeye mwenyewe huku wachunguzi waliochunguza huo ufisadi wakijaribu kuwaficha baadhi ya vigogo ambao hawataki wajulikane hadharani ili kufunika kombe mwanaharamu apite.
ReplyDeleteBalali ametolewa kama kafara tu ili kuficha ukweli wa sakata lenyewe. Pia kuna habari kwamba wachunguzi walichezea hesabu. Kiasi halisi cha pesa zilizoibwa ni zaaidi ya billion 300. Hiyo hesabu tunayoambiwa kwamba ni billion 133 ni ya kupikwa. Hili limefanywa kwa makusudi ili kuwapoza wananchi wasiwe wakali sana. Hii hasa nikwa sababu kiasi kikubwa cha pesa zilizochotwa zilielekezwa kwenye kampeni za uchaguzi wa kishindo. Sasa kwa ville wananchi walio wengi ni walio wengi ni mazezeta tukiambiwa kwamba pesa zote zimeibwa na balali tunakubali.
Kwanza haiingii akilini kwa nini huyo naibu gavana alibakizwa na mbaya zaidi akapandishwa cheo. Nim kwa jinsi gani hakuhusika kwenye huo ufisadi wakati yeye ndiye aliyekuwa mshauri mkuu wa balali au kwa kuwa ni mwanamtandao yupo hapo kulinda maslahi ya wakubwa?
Ni kweli kabisa wewe annon unayeongelea ufisadi. Inaelekea hii issue ya ufisadi inawezekana isije julikana daima. Mimi nina wasi wasi kabisa mambo yakaja kupotea kimya kimya baada ya muda!
ReplyDeleteTatizo la bongo misamiati mingi mno mpaka inatuvuruga. Tulianza na mambo ya MAHAFIDHINA kule Zenj, tukazubaa zubaa hata bila ya kuelewe maana yake hasa, ghafla ikaja msamiati wa UTAJIJU! Wakati tukiendelea kutafuta maana yake ghafla tu ikaibuka issue ya MKANDAMIZAJI! Tukingali tunaendelea kutafuta nani anayekandamizwa, imeibuka FISADI! Mwanzoni sisi wengine tulidhani ni tusi kubwa sana, ingawaje mpaka sasa hatuelewi maana yake, bila shaka kuna terminology nyingine itazuka na Balali pamoja na kundi lake tutawasahu. NJII HII BWANA,,, hatuiwezi kabisa msee!
Hizo zote blahblah kibao, hilo kundi lote hapo linajifanya halijui kilichokuwa kinaendelea BoT!
ReplyDeletemdau wa finland naomba tuwasiliane kuna mambo napenda unifahamishe, email yangu ni
ReplyDeletekimondo1978@yahoo.co.uk
naitwa constantin
Ndugu Wadau mie hainiingii akilini,ati Naibu Gavana anapandishwa cheo.hapa wanajaribu kufichiana makosa.Kilichokuwa kinafanya hapo wote wanajua wakiamua chota pesa ata Naibu anamgahao wake.Sasa itawezakana vipi ati Naibu alikuwa ni mtu poa???????? Mie nilidhani kikwete angechagua watu wapya kabisa hapo BOT.sio kupandishana Vyeo. Wote hao walikuwa group moja la ufisadi.
ReplyDeleteKuna uwezekano mkubwa huyo Nd. Gray Mgonja naye akawa amehusika na ubadhirifu wa mabilioni hapo benki kuu. Na kuna uwezekano mkubwa kuwa ametajwa kwenye ripoti ya E&Y kuhusiana na ubadhirifu huo. Sasa sielewi itakuwaje ndani ya kikao cha bodi wakati wanajadili ubadhirifu huo wakati mtuhumiwa mmoja wapo naye yuko miongoni mwa wajumbe. Itakuwa vyema iwapo Mh. JK akamweka pembeni huyu bwana kwa muda wakati uchunguzi ukiendelea.
ReplyDeletekweli usilolijua ni kama usiku wa giza.... wajameni ngoja niwaambie Naibu Gavana alieteuliwa kuwa Governor aliteuliwa na rais less than 3 months ago... Rais alimteua Prof Ndulu aliekuwa anafanya kazi UN then, na DR Mkilla kuwa manaibu gavana wakimsaidia reli ambae nae aliteuliwa early 2007. wote watatu walikuwa ni msaada kwa Gov Balali who at the time hakuwepo hata nchini. kwa hiyo mjaribu ku-argue in those grounds
ReplyDeleteWanatuchezea mchezo wa kuigiza na mazingaombwe na sie tumekaa pembeni tunashangilia 'amechukuaa, amewekaa, waaaaaa!!' Wabongo jamani! Mbona wamekazania EPA, EPA hizi account nyingine vipi? Wafanyakazi huko BoT wamekopeshwa mamilioni, wanaishi kwenye mapalace, wanaendesha magari ya kifahari, watoto wao wanasoma kwenye shule za bei mbayaaa! Hata kama ni mikopo pamoja na kuiba watarejesha vipi wakati mshahara wa mfanyakazi wa serikali unafahamika??? Wataifishiwe majumba yao ya wizi wa kodi za watanzania masikini fedha zirejeshwe kwenye zahanati za kata na ujenzi wa shule za sekondari! Wallah msituchangishe teeena!!
ReplyDeleteMgonja hajahusika kabisa,yeye ndie aliwatuma Deloitte kufanya audit,na ex Governor alipodanganya, alimuibua
ReplyDeletewanaosema amehusika ni ma agent wa mafisadi wanaotaka kumuuangamiza kwa sababu ALIWALIBUA.Yeye ni WHISTLE BLOWER na cover yake imekuwa blown up.
Balali had the full mandate of managing the funds.Ma lawayer, analysts, funds managers,auditors wa BOT waulizwe wali approve vipi.Mgonja's role as Director of Board will be revealed in the investigation.He questioned alot kwenye bodi
Hili Suala la BoT tusubiri wengi wataaibika kama kiliamuliwa kufuatiliwa kikweli kabisa Balali katolewa kachumbari tu kwani aliiba peke yake? Kwanini afukuzwe mmoja hizo kampuni 22 zilizohusika Serikali inachukua hatua ipi? Haka ni kamchezo Watanzania ndio kawaida yetu tutasahau sasa hivi ingekuwa Kenya moto ungesikika remember goldenburg.
ReplyDelete