Hiii Njama wallahi tena! hivi kwanini mimi tuu the Meter igome kusoma?Hahahah hii njama wallah Dola 500 tu tunabaniana hivi!!!!!legezeni bwana hainahaja ya kwenda Mlingotini.
Mdau Pius

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. $500
    marygosbert@yahoo.com

    ReplyDelete
  2. Duh hii chiboko watu wanabana hadi humu? Pole mdau

    ReplyDelete
  3. nje ya mada kidogo
    hivi yule jamaaa alikuwa anatuhabarisha issue za uchaguzi wa marekani , kila obama anaposhinda yupo wapi ?????????
    au ndio siasa za upande mmoja unayependa akishinda furaha akishindwa kimyaaaaaaa
    mrejesheni mdau atupe habari

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...