SOKO KUU LA KARIAKOO LIMEFUNGWA!

GLOBU YENU HII YA JAMII IMEELEZWA SASA HIVI KWAMBA HATUA HIYO IMEKUJA ILI KUFANIKISHA ZOEZI LA KUONDOA WACHUUZI WALIOKUWA WAKIFANYIA BIASHARA ZAO UPENINI MWA SOKO HILO NA MAENEO YA JIRANI. KAZI HII AMBAYO IMEANZA JANA HAIJULIKANI ITAISHA LINI NA HII NI MARA YA KWANZA KWA SOKO HILI, AMBALO LILIFUNGULIWA MIAKA YA 70, NA AMBALO LINAHUDUMIA KARI BU NUSU YA DAR YOTE, KUFUNGWA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Hizi hatua zingechukuliwa siku nyingi,mimi nimefurahi sana,ulikua ni wazimu,wangefanya hivyo mpaka mitaa ya congo kwa ujumla kariakoo nzima wangesafisha ni aibu mji umekaa kama jalala,na hao wachuuzi wa pembeni ndio wasiokua na adabu kwa kina mama na dadaz.

    ReplyDelete
  2. THEY HAVE TO GO

    ReplyDelete
  3. Tatizo letu bongo ni kuwa tunawaamuru wachuuzi kuondoka, lakini hatujali watakapoenda. Na kwasababu hawana namna nyingine ya kuishi, wanarudi tena muda si mrefu, au wanakuwa vibaka. Tusiwafukuze tu, viongozi muwaambie wakale wapi?

    ReplyDelete
  4. Duh, afadhali .

    ReplyDelete
  5. Hi muchuzi naomba munukuu – Mukereketwa wa maendlea kamalivyo sema kwenye bolg yako huenda viongozi walisoma - si waseme tu

    Motoa Maoni on Nov 13, 2007- Michuzi this was designed as MALL, if they let private company run this, the Government will earn lots of revenue and the place will look nice and attract even tourist –now after few years the national stadium will look like this. Free advice to those who are responsible
    1. Instead calling the Stadiums politicians name – you sell to the private company just to call company name- for example if you sell to TIGO –then it will be called TIGO Stadiums – tigo will pay billions of money to Government and this can every 10-24 years. Do your researches Michuzi on stadiums name and you will agree with me. For example the Stadium in California called STEPLE Center – The company Called Staple bough “naming right” for 25 years WEAK UP PEOPLE – KUMEKUCHA.
    2. if they let soko kuu la kariaikoo run buy private company they will make 100 times revenue and the place will be clean

    ReplyDelete
  6. Hi muchuzi naomba munukuu – Mukereketwa wa maendeleo kamaalivyo sema kwenye bolg yako huenda viongozi walisoma - si waseme tu

    Motoa Maoni on Nov 13, 2007- Michuzi this was designed as MALL, if they let private company run this the Government will earn lots of revenue and the place will look nice and attract even tourist –now after few years the national stadium will look like this. Free advice to those who are responsible
    1. Instead calling the Stadiums politicians name – you sell to the private company just to call company name- for example if you sell to TIGO –then it will be called TIGO Stadiums – tigo will pay billions of money to Government and this can every 10-24 years. Do your researches Michuzi on stadiums name and you will agree with me. For example the Stadium in California called STEPLE Center – The company Called Staple bough “naming right” for 25 years WEAK UP PEOPLE – KUMEKUCHA.
    2. if they let soko kuu la kariaikoo run buy private company they will make 100 times revenue and the place will be clean

    ReplyDelete
  7. Napenda kutoa maoni yangu Hivi ni nani Mwananchi mwenye haki ya kuishi wakati Taifa linatanga Ajira huria maana yake ni nini Naomba Serikali Ijenge masoko mengine ambayo yataongeza Ajira Kumbuka kabla ya Kariakoo soko lilikuwa Ilala na Serikali ya Baba wa Taifa ndio aliamua kujenga Kariakoo Sasa Nakuomba Rais Kikwete Ijenge Masoko ili upate Ufumbuzi wa kudumu hasa Ajira za walala Hoi ambao Hawana nafasi za kazi Huko B.O.T Ambako kuna Mahela ya BURE ya kuchota ya walipa kodi Ahsante Mgosi wa Kaya

    ReplyDelete
  8. JAMANI NAKUGAMBIRE VITOKE NA KAMGAMBIRE MY WIFE STUPID. UMENIMALIZA KWA KWELI.

    ReplyDelete
  9. Tanzanians the only economic system exists is Capitalism – you in or not, is coming to your back yard; I suggest you should and must think like capitalist, Wacha makelele. Uza soko hilo. Hivi kwanini wabongo maneno wengi, BOT wameiba kwasababu bado mumesinzia. naunga mukono Motoa Maoni on Nov 13, 2007

    ReplyDelete
  10. NI AIBU KUBWA KUONA SOKO CHAFU KATIKATI YA JIJI, SOKO HILI HALIINGILIKI NA WATU WA JAMII YOYOTE NYINGINE ZAIDI YA WABONGO ETI NALO WAANDISHI WA HABARI HULIITA LA KIMATAIFA!SHIT. HALIJAWAHI KUSAFISHWA TANGU LIFUNGULIWE INAWAJE PAA LA JENGO HILO LINAUWEZO WA KUHIFADHI MAJI YA MVUA KWA AJILI YA USAFI. SOKO HUTAKIWA KUWA NA SIKU MOJA YA KULIFUGA KILA MWISHO WA WIKI KWA AJILI YA USAFI.

    ReplyDelete
  11. Kariakoo ikiwa Mall naona litakuwa jambo zuri. Lakini sidhani kama hatua hiyo italiingizia taifa fedha kama motoa Maoni on Nov 13, 2007 anavyodhani. Tunalo tatizo katika sheria zetu au ufuatiliaji unao sababisha makampuni ya nje kuja kuvuna tu mali na nguvu zetu. Mahotel yamekuwa yakibadili majina kila kukicha ili kukwepa kodi, madini yanavunwa, TRA rushwa tupu nk. Je Tuuze na BOT?

    ReplyDelete
  12. michuzi mie nimesikitika sana....ingekuwa kuna alternatives basi hao wachuuzi wanapata pa kwenda ingekuwa poa!..ila kufanya mambo kiubabebabe....namna hii mie naona sio...pale watu ndio riziki zao za siku!...wengine hawakupata privilege za kuingia mashuleni na kupata kazi za ofisini..km nyie!ni UONEVU tuu..

    NEY---

    ReplyDelete
  13. Michuzi mimi bwana nataka tu kugusia swala la ukabila na ufisadi vyuoni kiuhakika sio vyuo vyote lakini kuna vile ambavyo vimekithiri kimojawapo nikile chuo cha ustawi wajamii kilichopo kijitonyema.

    chuo hiki kina tatizo kubwa la ukabila kuanzia mlinzi hadi mkuu wa chuo ni wahaya je? wahaya tuuu ndio wasomi?

    kinaongoza kwa ufisadi kwakutumia pesa zawanafunzi na kuwarudishia wanapo taka wao, kwakweli inasikitisha sana chakushangaza nipale endapo mwana funzi anapo pungukiwa ela ya ada uongozi wa chuo hiki hauna imani hata kidogo

    nisiongei sana kwa kumalizia kamaserikali umeshindwa kukiendesha ipasavyo basi ikibinafsishe kwa wahaya ilitujuwe moja

    kama ningelikuwa mchawi ninge mloga kwanza mkuu wachuo na mafisadi wenzie

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...