Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Na machweo ya mitaa ya GONGO LA MBOTO vipi?

    ReplyDelete
  2. Na Manzese darajani - juu kabisa pale vipi? Michuzi uwe unaitembelea DSM bwana. Unapenda tu kuonesha magorofa. Dsm si tu maghorofa. Onyesha japo masela wakiganga kama stendi ya basi, daladala zilizokula nyomi, abiria wanaosubiria daladala jioni pale Ubungo nk......... Be creative baba!

    ReplyDelete
  3. wooow! Nice picture.

    ReplyDelete
  4. Naam yakhe Issa bin Michuzi,hebu basi waonyeshe hao wadau kimbizi vitongoji mbalimbali kama vile Mburahati,Vingunguti,Sharif Shamba,Gerezani,Kariakoo,Mbezi,Mikocheni,Kigamboni,Ilala,Oyster Bay,Kijitonyama n.k.
    Dar ndio sasa KUMEKUCHA!!!

    ReplyDelete
  5. Michu.. hizi picha umeweka tuone majengo hayo hao.. au jinsi mji ulivyo na kiza??

    ReplyDelete
  6. michuzi tell MJENGWA to give you a crash course on creativity,maana at times hii meli inakosea njia,hatutopenda iishie kugonga mwamba

    ReplyDelete
  7. wewe anoy wa hapo juu hamnazo kabisa, Kama ni Meli imepata nahodha babkubwa na ndio kwanza ingini imepamba moto na iko kweli line yake hakuna cha kugonga mwamba wala nini kama ni mshabiki wa mjengwa nenda kwake usilete fitna hapa hama tu baba utuachie chombo chetu wajuaji. michuzi hajakosea kuonyesha majengo hayo maana nikama anatoa message kwa walioko ughaibuni kwamba na home nako mambo yaana kuwa safi WEWE UNATAKA KILA SIKU AONYESHA VIBAYA TU KWA NI VIZURI HAMNA??? VIBAYA VIONYESHWE NA VIZURI PIA. KUHUSU MAISHA YA USWAHILINI MARA NGAPI AMEYADHIHIRISHA HUMU????

    SIO SIRI DAR IKO BOMBA BWANA HATA ULAYA KUNA MITAA MIBAYA SANA WATU TUMEIONA LAKINI CNN AU BBC WANAIONYESHA KWENYE TV ZAO???? SI BORA HATA HUYU SHEHUNA WETU MICHU!!!!


    MZEE WA BUNJU

    ReplyDelete
  8. misupu towekee na za mitaa ya mchafu koge na mchamba wima huko mbagala tuone

    ReplyDelete
  9. hakika ndugu michuzi anafanya kazi ambayo anastahili kupewa sifa nzuri. picha zake karibu sehemu nyingi inaonyesha. ila nafikiri ikiwa tutapata picha kama zi mikoani na wilayani siyo mbaya.
    picha kama pale sinza, ubungo an sehemu nyingi ila kwa ujumla kazi yako ndugu ni nzuri nahayo niliyoelezia ni kama mambo ya ziada. napenda kumjulisha dada kalunde ili kutangaza biashara yako ni nzuri kupitia ndugu michuzi ili wanandugu zetu hapo bongo waweze kunufaika wao na wewe. shukrani mohammed

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...