anayebisha kwamba dar sio tambarare na anyooshe mkono tumuone. hapa ni mtaa wa samora avenyuu leo hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. KUCHAFU MATAKATAKA KIBAO, MTAA HUU NI TOFAUTI NA ULE MTAA ULIOKUWA MSAFI SANA UKIITWA INDEPENDENCE AVENUE?

    ReplyDelete
  2. hilo shimo litakaa hapo mwezi mzima. au ndo maana ajira hamna au ndo tunahitaji fungu la misaada kwa wahisani ya kusafisha barabara na marekebisho madogo madogo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...