Hello kaka michuzi,
nipo huku utete (uturuki) tunaangalia goma la mchangani na Eric Cantona
mdau siRGut.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. We saguti hujatulia sana, sasa huku sweden umeniachia kizogo unatafutwa na...utajiju! Powa mwana wakilisha mwambie aende bongo wakamshangae vizuri!

    Mahadhy

    ReplyDelete
  2. We Freddy acha mambo yako hayo.Huko Uturuki ulienda lini.balaa sana we kijana.Aminia!Karibu tena Denmark!
    Baba Kemi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...