Kaka Michuzi, Mimi naona shindano lako la kumpata mishindi wa millioni tatu ni batili ama kunaka inside job kanaendelea, si unaona mwenyewe kwenye counter yako mimi nimepata error message! Au wadau mnasemaje?!
Machu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Ndugu yangu Machu pole najua ukipata hiyo hela unamalizia nyumba jaribu kubadilisha computer labda hiyo haitaki ushinde

    ReplyDelete
  2. Ndugu yangu Machu pole najua ukipata hiyo hela unamalizia nyumba jaribu kubadilisha computer labda hiyo haitaki ushinde

    ReplyDelete
  3. We manchu usiumize kichwa, kama inaandika error chukua maker pen andika mwenyewe kwenye hiyo monitor yako

    ReplyDelete
  4. Ha ha ha..., hiyo pc yako ni kama ya CHIBIRITI nini? inawezekana imechoka ndo mana mzungu akaitupa, we ndugu yangu ukaona dili kuikota na wewe unajidai eti una Pc,

    Au na wewe unataka kutuambia vitu vya zamani ndi vinauzwa bei kama mwenzako!! badilisha kimeo hicho la sivyo dola 500 utazisikia hewani!!

    Ha ha ngoja nikakate salad mimi ili maisha yaende!

    ReplyDelete
  5. Si ndo zile PC za wabeba mabox. Kwanini ikatae wakati hi ni program ya Dunia nzima na inakuwa centrally controlled. Lazima hiyo PC ni kimeo na IP wako fake. Michuzi sisi tunaendelea na count down towards $ 500. Achana na wababaishaji hawa. Ni sawa na yule wa sayari ya mars. Fisadi nkubwa yule! Inawezekana naye yuko Malta tayari!

    ReplyDelete
  6. ..huyu ndo wale wale wa sayari ya mars!michuzi wasikupotezee muda watu kama hao!kwani alichofanya yule jamaa na huyu ni sawa sawa tu kinaweza fanyika kwa mchezo huo huo!

    ReplyDelete
  7. Ni kweli jana mchan hii counter ilikua haipo, Nikazania imeondolewa. Kumbe bado game ipo. kweli itakua bahati ya mtu.

    ReplyDelete
  8. naungana na Machu kweli muda mwengine huwa inaandika error imeshanitokea mara moja na mimi

    ReplyDelete
  9. Anos, bwana kaka kuna comment najaribu kukutumia lakini uziweki hewani au labda nakosea niabalishe

    ReplyDelete
  10. "Si ndo zile PC za wabeba mabox". wewe mwanga uliyesema maneno haya hauna akili kabisa. Wewe nani kakuambia computer ya wabeba na wasiobeba maboxi zinatofautiana wakati wa kuonyesha error? hata kama unayo ya millioni lazima kama system ni mbovu unapata error. Nyie ndo wale mmesomea chini ya mnazi halafu kazi yenu kusagia wenzenu tu. Get a life looser.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...