mdau richard kasunga katuletea habari hii kwa wale ambao hawajajua kwamba kuna uwezekano wa kuiona sehemu yoyote duniani kwa mbali na karibu.
Google Earth streams the world over wired and wireless networksenabling users to virtually go anywhere on the planet and see placesin photographic detail. This is not like any map you have ever seen.This is a 3D model of the real world, based on real satellite imagescombined with maps, guides to restaurants, hotels, entertainment,businesses and more. You can zoom from space to street levelinstantly and then pan or jump from place to place, city to city, evencountry to country.Get Google Earth.
Put the world in perspective.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. We bwana Kasuga namna gani..mbona unatueleza kana kwamba hii ni breaking news....hii kitu mbona ni ya zamani sana.

    ReplyDelete
  2. Richard kasunga kama yule yule mdau wa Mzumbe hign school enzi zileeee please keep in touch at senator06@yahoo.com...ila hii google earth long time wabongo tunatandaa mpaka ukitaka kupaona kwa George Bush unafika hadi mlangoni!!itasaidia sna kuona mipango miji ya wenzetu sio kama kariakoo mitaa ya TBL pale au Ukonga kule

    ReplyDelete
  3. Hii inaweza kusaidia kumtafuta Dr. Daudi Balali..

    ReplyDelete
  4. Kasuga wake up mtanzania this is January 2008! Unajua tulitangaziwa lini na CNN, BBC na ITV na kadhalika.......?

    ReplyDelete
  5. Pamoja na kuwa ya zamani teknolojia hii bado ina matobo!!! Sio kila sehemu unaweza ukaiona kwa karibu kama anavodai huyo jamaa. Inategemea na factors nyingi. Kama hakuna mtu ameingiza picha za eneo fuani si rahisi kuliona. Labda kama ungeshauri wapenzi wa kupiga picha waanze kuingiza picha za maeneo mengi ya Tanzania ambazo hazipo kwenye google earth. Sana sana Dar utaona Maabibo hostel na vijimaeneo vingine vichache. Mi nawaalikeni tuweke picha humo!!!

    ReplyDelete
  6. Kasunga, OPP!, you know me! Upo wapi wewe, najua tangu tuachane kiungani ndo jii mpaka leo. Hamisi Ndaurija hapa, ndani ya Richmond, Californication

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...