TAARIFA MPYA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU


Tunawataarifu ndugu, jamaa, marafiki na watanzania wote kuhusu kumuaga ndugu yetu mpendwa Renatus Kabakaki kesho tarehe 29/01/2008, kuanzia saa 12:00 jioni, mpaka saa 2:00 usiku.


Tendo la kumuaga litafanyikia katika anuani ifuatayo:


T. Crib & Sons

Funeral Directors

Victoria House,

10 Woolwich Manor Way,

Becton,

London,

E6 5PA.


Tel: 0207-476-1855

By bus 101 and 474 from East Ham and 262 from stratford


By DLR from Canning Town to Becton station which is opposite the address above, near ASDA Becton.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...