
je, mdau, una habari kwamba kocha wa kidachi gus hiddink aliyeipeleka korea kombe la dunia mwaka 2002 amekula mwaka mpya akiwa ngorongoro crater hapa bongo? basi ndo hivyo tena. hapo juu anaonekana na wafanyakazi wa hoteli hiyo siku hiyo. dah! angebaki kumpa taff maximo jamani. ama kweli bongo tambarare... shukrani za pekee zimwendee mdau francis majambele kwa picha hii maridhawa!


Duh, kumbe hili suala la "MIKONOZZZZ" sio Mithupu peke yake eh?
ReplyDeleteWabongo tunapenda kujichanganya sisi. Tatizo letu sio makocha jamani, mtaelewa lini?? Tatizo letu ni wachejazi na program nzima ya michezo. Ndio maana hata matatizo yetu kwenye uchumi tunashindwa kutatua hivi hivi kwa sababu tumeshindwa kabisa kujua tatizo liko wapi. Soka letu hata kama tukawakusanya makocha wote wanaofundisha mpira Brazil, England, Italy na Ufaransa hatutashinda mpaka kwanza tutatue tatizo lililopo kwa wachezaji na program yetu ya michezo.
ReplyDeleteweee michuzi acha uzushi, kwa nini unapenda kusema bongo tambarare kwa mambo ya kipumbavu kama haya, wakati mamilioni ya wabongo wanakula mlo mmoja na hawajui kesho itakuaje?subiri mambo yakiwa magumu zaidi hata kaphoto point kako kataja chomwa moto kaa kwa watani wetu wa jadi.ukimwona mwenzako ananyolewa wew usiende kwa bitebo.hollas
ReplyDeleteHuyu jama ana tatizo gani, eti Bongo tambarale ..kwa kuja huyu kocha tuu?, hujui watu wa maana kibao wana kuja Bongo kila siku?, wewe umeona huyu Kicha ni jamabo la ajabu, Bongo wana kuja watu kibao tuu na ni wana kuja kimya kimya haitangazwi , Kuanzia kina Madonna had Bill Gates wote wame sha tia mguu ndani ya Bongo Hollyday.
ReplyDeleteHivi inakuwaje mtu mashuhuri kama huyu anazuru nchi lakini hatangazwi kana kwamba ameingia kimagendo..! Ina maana ho waandishi wa habari wanaokaaga pale airport hawamjui huyu Guus Hiddink au? Inaboa saaaannaa!!
ReplyDeletekwanza tuambiwe amekuja kufanya nini ndio tutoe comment isije ikawa maisha yamemshinda ndio maana kakimbilia bongo na kuamua kuingia kimya kimya.Tuangalie jama sio wabongo wanaotafuta makaratasi peke yao inaweza ukashangaa baada ya wiki mbili unasikia kamuoa dada yako.
ReplyDeletemdau wa philly
Huyu kocha mzuri ikumbukwe aliipeleka Australia pia kwenye kombe la dunia baada ya miaka 30 na hatimaye kufika roundi ya pili kitu ambacho Australia walikiona kama ni ndoto...ingawa alimaliza mkataba wake kwenda kuifundisha Russia, wa-Australia bado wanamtaka...
ReplyDeleteWE MLA MATUNDA VIPIWEWE? UNAFIKIRI KILA MTU MASHUHURI HUANDIKWA ANAPO TEMBELEA BONGO! MBONA MIMI SIKUANDIKWA MAGAZETINI?
ReplyDeleteHakuna cha GUUS HIDINK wala nini, watu wanafanana tu duniani.
ReplyDeleteHuyu jamaa mi namjua vilivyo, ni Engeneer mmoja Ndege wa kampuni binafsi ya Ndege ya Precision Air, anaitwa GENNARO SICURREZA,
Kama mnabisha wapigien precision muwaulize.
Bongo milima tu na mabonde, hakuna u-tambarare wowote.
Poa kama vipi
Huyo amaysema no gennaro sicurreza avae miwani aone vizuri, au aizuum hio picha. Huyu ndio Guus mwenyewe, mfalme wa wakorea na wa australia.
ReplyDeleteMy guess is as good as yours, More will flock in to Tanzania, I mean tourists because of the impending situation Kenya is now on.
ReplyDeleteNyie wabeba Box,washamba sana, hata hamjui kua Tanzania wanakuja watu mnaarufu kwa ziara binafsi kila siku na hazitangazwi , kama mnabisha waulizeni watu wa Znz na Arusha.
ReplyDeleteWatu Maarufu angalau nilio wahi kuwaona Tanzania ni,Jemmima Khan,Bill Gates,Madonna,Whitney N Bobby Brown,Angelina Jolie,Richard Branson,Naomi Campbell, Michael Jackson (ziara ilikatishwa sababu ya paparazi ),Ben Aflek, Matt Damon, Justin Timberlake ,Cameroon Diaz ,Mia Farrow ,Zhazha Gabor ,Ted Turner ,Patsy Kensit ,Woody Allen , na wengine wengi ambao wana kuja kisiri zaidi.
Superstar na matajiri wengi wakija wana kuja na ndenge binafsi na huwa hawakai hotels ja mjini, wao ni straight Zanzibar or Arusha mbugani na kisiwani.
Nyie bebeni box tuachini Bongo yetu daymmmmmmmn
Hivi hawa macelebrity waje au wasije wanaongeza au kubadilisha nini kwa mlalahoi wa kawaida?
ReplyDeleteWewe unayesema umekutana nao hao umefaidikaje kwa kukutana nao?
Wabongo bwana.
Hahahaaaaa wewe hapo juu umenifurahisha
ReplyDelete