
Wadau kuna blog mpya juu ya haki na elimu kwa wagonjwa wenye maambukizo ya ukimwi haswa haswa wakina mama na watoto. Chonde chonde wadau tuitembelee kwa kugonga hapa.
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi, mwambie huyo mwenye hiyo globu ya ukimwi, abadilishe rangi ya hiyo ribbon. Ribon ya ukimwi rangi yake ni NYEKUNDU. Hiyo aliyoweka ni pink, na kama nijuavyo mie pink ina maanisha ugonjwa mwingine kabisa!!!!
ReplyDelete