jk akiwahutubia mamia ya wakazi wa Wilaya ya Chato, Mkoani Kagera, leo muda mfupi baada ya kufungua rasmi shule ya Sekondari Bwanga katika ziara yake ya kikazi mkoa wa Kagera

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. CHATO'S LAND...Wazalendo watupu!bendera ya taifa imetuhakikishia...long live TZ!

    ReplyDelete
  2. kusema ukweli wajameni mi huyu baba nikimuona iwe kwenye picha au kwenye tv nasikiaga raha tu, sijui ndo nampenda au nisemeje? sina tu jinsi ila nakula kwa macho.
    "naomba kuwakilisha ni mtazamo wangu binafsi"

    ReplyDelete
  3. Shati lake nimeli mind! lime kaa Kiboyz 2 men kapendeza kweli mkwere wetu original

    ReplyDelete
  4. kajamaa kanazidi kunenepa wakati nchi bado iko palepale. ukweli nionavo mimi sisi tunawatumikia wanasiasa, wala si kweli kwamba wao wanatutumikia sisi.

    ReplyDelete
  5. Mbona hamridhiki na amani walioiweka kaimu hao wanasiasa hapo TZ,ati kanenepa...ndio fikra za 'very shallow people,'hebu angalia last 45 years za amani halafu linganisha na jirani kenya,uganda,burundi,rwanda,congo...je niendelee?LONG LIVE MR PRESIDENT AND KEEP UP WITH GOOD WORK DESPITE BOT SCANDAL!!!

    ReplyDelete
  6. Jamaa siku hizi ka mwili kana kuja kuja,

    Ajiangalie asijekua kama uncle ben.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...