Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Profesa Mark Mwandosya akipata maelezo kutoka kwa Bwana Imam Nyangasa, Meneja uzalishaji wa kiwanda cha Biobriquttes kinachotengeneza mkaa kwa mabaki ya mimea na chenga za mkaa alipokuwa ziara ya kikazi mkoani Tanga leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. WHAT THE GUY IN BLUE WEARING? IS THAT A COAT, KANZU AU GAUNI?

    ReplyDelete
  2. maria nyangasa wa bonn,deuschland.huyu ndio baba mkwe?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...