jk katika picha ya pamoja na mabalozi wa nchi mbalimbali alipowaandalia pati ya sheri ikulu jana. kila mwanzoni mwa mwaka rais huandaa pati hii katika kuukaribisha mwaka kwa kuongea na mabalozi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Yea.. great speech, i do hope kenya resolves its issues coz it's east africa's powerhouse. Lets hope we reach the 7.8% GDP, slowly but surely.. Mkabahati

    ReplyDelete
  2. wazima jamani,

    hotuba ya rais ni nzuri,
    wadau hivi mnamuona huyo mama 4th from left, nafikiri ni kutoka uganda kama sikosei, wa mama wa kiganda ndo wanavaa hivyo, yana 'mama wakwe wetu'...misoup siunajua tena ndugu yangu...
    yani inenichukua muda kweli ku figure nikitu gani kavaa, kwanza nilijua kavaa suruali, subiri kwanza hivi wadau ni suruali au suruale?? basi nilijua kavaa trouser then kafunga koti kiunoni, nikajiuliza, hivi huyu mama kweli kafunga koti kiunoni kwenye mnuso kama huo?? muda mrefu nakodoa macho naona kavaa suruali tena chini nikiangalia viatu sielewi vikoje, naona ni viatu halafu vinakama ungo chini yake, yani kasimama kwenye ungo, haha hahaaaaaaaa kumbe ni nguo kama bazee na kitammbaaa kwa kiunoni, duu some dressing code ni utata,

    usiku mwema wajameni.

    ReplyDelete
  3. We anon wa 2:20am si ungeenda ukalala kwanza halafu ukaangalia vazi la huyo mama,umenifanya very uncomfortable kusoma comments zako unavyo describe vazi la jirani zako ambao sasa mnawaita wakwe,sijui kama Michuzi analijua vazi linaitwaje,lakini acha mimi nikufahamishe vazi linaitwaje mimi ni nusu Mganda nusu Mtanzania,maana wenzetu wana mavazi yaki taifa sisi wa TZ sijui letu ni lipi zaidi ya Masai,wahindi wana sari waganda wana GOMES,na wala sio suruali na koti kiunoni.

    ReplyDelete
  4. huyu jamaa badala ya kuwaza spichi hiyo na bei ya mafuta anaangalia vivazi.....au mwenzetu mwarabu hiyo spichi inakuhusu babu.....kalagabahooo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...