kivuko cha kamba na kingine kipya cha injini katika mto luhuhu, wilaya ludewa, mkoa wa iringa, kama alivyoshuhudia mdau hamidu bisanga hivi majuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hivi ndio zamani kigamboni nasikia kivuko kwa kamba kinavutwa.

    ReplyDelete
  2. Beautiful Tanzania indeed!!!
    Land of Green & Honey!!!

    ReplyDelete
  3. michuzi ebu tusaidie kutangaza habari hii,kwanza namshukuru mdau aliyeweza kuileta hiyo picha,mimi ni kwetu huko manda na lazima tuvuke hicho kivuko cha kushangaza huu ni mwaka zaidi ya 20 kinavutwa na kamba,ni hatari balaa na huo mto kwa mamba ndo usiseme.tunaomba serikali yetu itusaidie kivuko kipya...kwani hata huko kuna watanzania au baada ya kufa kolimba ndo basi tena kumesahaulika.......

    ReplyDelete
  4. acheni kupigia kura CCM maana ndio mafisadi wanaoleta umaskini kama huo

    ReplyDelete
  5. jamani nyerere kaacha nchi na vile vile vya wakoloni, miaka arobaini na kadhaa sasa,usiniambie hii lazima itakuwa sehemu za waislamu ambazo nyerere alikuwa hazitambui.by the way michuzi huyu hamidu bisanga ni yule mdau waliomaliza pesa za yanga miaka ya sabini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...