ZOEZI LA KUMPATA MDAU WA MILIONI 3 LINAKARIBIA. MFADHILI AKIPATIKANA KAMA SAFARI ILE YA MDAU WA MILIONI 2 ALIYELAMBA DOLA 500, NITATANGAZA ZAWADI NA NAMNA YA KUINGIA KWENYE BAHATI NASIBU HII.
AIDHA, WALE WADAU WALIOTABIRI MATOKEO YA MECHI YA MANCHESTER NA ARSENAL WAKATI ULE MWAKA JANA PIA WAKAE MKAO WA KULA. KUNRADHI KWA KUTOTANGAZA MATOKEO KUTOKANA NA SABABU ZILIZOKUWA NJE YA UWEZO WA GLOBU HII. HIVYO MSIWE NA WASI MAJINA YAPO YOTE SABA NA MSHINDI ATAJULIKANA JUMAPILI IJAYO


Afadhali umekiri mwenyewe mapema, maana tu tulikuwa tunasubiri kije kitu kingine, au useme kuna mashindano ya kushiriki, alafu ndio tukumbushie vipi tebeneke la zawadi ya mechi ya Arsenal na Man. Poa hiyo imeeleweka, tunasubiri.
ReplyDeletefinally muzee bora umetukumbushia washindi sie shindano letu ngoja nianze kupangia budget dola zangu mia tano angalau kidoooog imani yaanza kurudi kwako misupu
ReplyDelete