Home
Unlabelled
kompyuta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sio hivyo tu,
ReplyDeletebali pia aliweza kupiga chenga mpaka wenzake wa timu moja, waamuzi, mashabiki mpaka walinzi walioko getini na kisha kutoka nje ya uwanja bila kupoteza mpira na kurudi nao tena kwa staili ile ile aliyotoka nao
Sio hivyo tu,
ReplyDeletebali pia aliweza kupiga chenga mpaka wenzake wa timu moja, waamuzi, mashabiki mpaka walinzi walioko getini na kisha kutoka nje ya uwanja bila kupoteza mpira na kurudi nao tena kwa staili ile ile aliyotoka nao
hivi ni macho yangu ama ni picha,naona hapa kama kuna mipira miwili?
ReplyDeleteDaaaaaaaaaah hivi yupo wapi siku hizi naomba mnifunue masikio nipo mbali na Home
ReplyDeleteBasi kama ni hivyo alikuwa hajui kucheza. Mpira si chenga tu mpira ni strategy, pale kuna kitu kinaitwa team chemistry nafikiri yeye alikuwa hana hii. Huu ndo mpira halisi wa TZ hakuna nini wala nini...tumekalia tu historia ya kijinga! Wenzetu wanaendelea kisoka sisi twasindikiza, tutafika kweli?
ReplyDeleteSunday Manara nasikia yuko ughaibuni tangu siku nyingi katika mji mmoja unaitwa Amsterdam huko nchini uholanzi.
ReplyDelete