sunday manara hakuitwa 'kompyuta' bure tu. enzi zake alikuwa na uwezo wa kupiga chenga timu nzima ya adui na kipa wao, kwa kuhesabu mmoja mmoja bila kupoteza mpira

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Sio hivyo tu,

    bali pia aliweza kupiga chenga mpaka wenzake wa timu moja, waamuzi, mashabiki mpaka walinzi walioko getini na kisha kutoka nje ya uwanja bila kupoteza mpira na kurudi nao tena kwa staili ile ile aliyotoka nao

    ReplyDelete
  2. Sio hivyo tu,

    bali pia aliweza kupiga chenga mpaka wenzake wa timu moja, waamuzi, mashabiki mpaka walinzi walioko getini na kisha kutoka nje ya uwanja bila kupoteza mpira na kurudi nao tena kwa staili ile ile aliyotoka nao

    ReplyDelete
  3. hivi ni macho yangu ama ni picha,naona hapa kama kuna mipira miwili?

    ReplyDelete
  4. Daaaaaaaaaah hivi yupo wapi siku hizi naomba mnifunue masikio nipo mbali na Home

    ReplyDelete
  5. Basi kama ni hivyo alikuwa hajui kucheza. Mpira si chenga tu mpira ni strategy, pale kuna kitu kinaitwa team chemistry nafikiri yeye alikuwa hana hii. Huu ndo mpira halisi wa TZ hakuna nini wala nini...tumekalia tu historia ya kijinga! Wenzetu wanaendelea kisoka sisi twasindikiza, tutafika kweli?

    ReplyDelete
  6. Sunday Manara nasikia yuko ughaibuni tangu siku nyingi katika mji mmoja unaitwa Amsterdam huko nchini uholanzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...