Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Wasichana ya Korogwe, Bibi Mary Singano akiagana na Mke wa Waziri Mkuu, Mama Regina Lowassa baada ya kumaliza ziara ya siku moja katika shule hiyo juzi. Katikati ni Mama Bertha Mgombelo ambaye ni mkereketwa wa harakati za wanawake aliyefuatana na mama Lowassa katika ziara hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzi nisaidie hapa. Naelewa mke wa rais ni "first lady". Sasa mke wa waziri mkuu huwa ni nani? Na mke wa waziri mwingine, mbunge, mkuu wa mkoa nk, hapa inakuwa vipi?

    ReplyDelete
  2. Michuzi, huyo ni "Mkuu wa Shule" na siyo Mwalimu Mkuu! Mwalimu mkuu ni yule wa shule ya msingi.
    Hiyo ndiyo protokali ya wabongo.

    ReplyDelete
  3. MAMA PM UNAJUA KUONDOA PAMBA, KWELI UNAREPRESENT.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...