Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Michu,
    Wewe unaona KP ya future nini? maanake na leo tena umechemsha KP tulionayo kwenye Mwananchi sio hii au lipo gazeti jingine KP anatokea tueleze basi MAANAKE MCHEMSHO WAKO sasa unazidi hii ni mara ya pili unatoa KP ya future.

    ReplyDelete
  2. KWA KWELI WATANZANIA TUSHUKURU MUNGU KWA KIPANYA, HUYU KIPANYA ATATUSAIDIA KUEPUSH MAOVU MENGI SANA NCHINI. SASA MZEE KICHAKA ANATUTEMBELEA HAAFU AAMIMI ULINZI WE TUTU ANY WAY INAWEZEKANA HAYO NI MAMBO YA KIITIFAKI LAKINI HATAKUJA NA OXYGEN YAKE. MWAACHE AJE AT LEAST WABONGO WAONE BURUDANI YA ULINZI WAKE. ITAFURAHISHA SANA.

    TUMAINI GEOFREY TEMU

    ReplyDelete
  3. WE MDAU WA HAPO JUU UNAYESEMA MICHUZI KACHEMKA UNA MATATIZO KADHAA.

    1. AIDHA UNAISHI MIKOANI.. NA KAMA UPO DAR BASI NDIO KWANZA HATA MWAKA HUJAMALIZA NA UNATAKA KUTUONESHA USHAMBA WA KWENU WA KUJIFANYA KUSHINDANA NA WATOTO WA MJINI. MSHAMBA NI MSHAMBA TU

    2. KWA UZUMBUKUKU WAKO UNADHANI MICHUZI ANAKOPI KATUNI ZA KP KWENYE GAZETI, KWA TAARIFA YAKO HAWA NI MABESTI TOKA HATA MWANANCHI HALIJAANZISHWA NA MICHUZI ANATUMIWA KATUNI MOJA KWA MOJA PENGINE HATA KABLA YA MWANANCHI. TUMUOMBE MITHUPU ATUWEKEE PICHA ALIYOPIGA SIKU WANAWEKEANA MKATABA NA KP, ALIITOA HUMU ILA SIKUMBUKI TAREHE

    3. UNATAKA KUJIPENDEKEZA KWA NGUVU KWA MICHUZI. BWANAEEEE HANA TAIMU NA WEWE. MKOME

    MDAU BORN HIA HIA...

    ReplyDelete
  4. Tumaini achana na huyo mzee wa kichaka, maana huyo akiona kichaka tuuu anataka ajisaidie huyo si wa kufagilia. yamkini ana lake jambo na ujio huo, mzee mzima kuinuka? iko namna mtajaskia tuu yangu macho na upande wa sikio mwenetu.Ulinzi wa namna hiyo si utumwa tu hamuoni mwezie jk aaah yeye hata sokoni tunakutana nae mitaani tena kwa mguu na trainsuit yake hana wasiwasi na wazalendo wenzake hayo ndo maisha.

    ReplyDelete
  5. Duuu, lakini hiyo si taabu, mbona Bush unaishi kama mfungwa fulani hivi. Nafikiri hata sehemu ya haja inbidi uje nayo, maanake vinginevyo bodigadi inabidi awe mlangoni, au ndani kabisa.
    Maisha ya namna hii mimi nayaona kama `ufungwa fulani' Sijui lakini, labda wewe una-enjoy!
    Pole sana. Karibu bongo, utatusaidia sana kwani usafi utaboroshwa , na siku hiyo inabidi tuage nyumbani manake hiyo foleni ya magari itakua ya aina yake. Tunaweza tukarudi nyumbani usiku wa manane, kumbukeni kuaga majumbani mwenu. Labda tuombe siku hiyo iwe ya mapumziko.

    ReplyDelete
  6. Jamani Wanawani mbona Tunalaumiana bure wakati hali halisi twaijua sisi wenyewe wabongo??:
    1.Maji safi ni kitendawili Bongo,una vijisenti basi unywe Glacier.

    2.Hatuna Variety ya vyakula bora!!,umefanya mtoko basi ni yaleyale ChipsMayai,ChipsKuku,Pilau & ndizi mbivu,Walisamaki,nyama choma,kiti moto!!( We-Angalia 'Ma-dinner' ya mzee Michuzi na wageni wake: Mezani Hukuti walau mbogax2 au Pasta,SeaFoods,Mivinyo)

    3.Kama ni Mgeni jijini Dar.,na unaendesha Pikipiki au Motokari basi salama yako uendeshe Mchana angali kuna mwanga,usiku unajitakia kifo,maana hayo mashimo ni kama makaburi,wakati wa masika basi uwe na pantoni.

    4.Vituo vya Mafuta (Filling Stations)Bongo usanii mtupu!!Wese si wese,mwanawani CHUA tupu!!

    5.La mwisho, na nnahisi hili linaendana kidogo na imani na tamaduni zetu Bongo sijui??:Ukenda Haja basi wengine Jembe mkononi,Kipande cha Gazeti la zamani,Kopo la maji mkononi,Duhh!! ma-nake kuwa na 'Nyumba' yenye Choo cha 'Ndani' kweli umejizatiti bongo.
    **Hakuna faida yeyote kwa ujio huu wa Bw.W Bush,sanasana tutaongeza umasikini wetu kwa hayo mabilioni yatakayo tumika 'eti' kwa maandalizi.

    ReplyDelete
  7. Ameeeeen Kp!

    ReplyDelete
  8. NIMEONA, Barabara ya kutoka uwanja wa ndege kuja mjini imeanza matengenezo, ama kweli mgeni aje mwenyeji apone. Lakini huyu Bush kwanini haingii mitaa ya ndani, ndani kama vile barabara ya Kipunnguni kutoka Mombasa, manake tungefaidi hii neema. Cha ajabu mbunge wa eneo hili ni Naibu waziri wa miundo mbinu...ajabu kabisa. Kwako kunanuka wewe ndiye dakitari wa usafi. Ajabu kabisa.

    ReplyDelete
  9. Samahani,
    Kwani globu imekufa????

    Naskia jamaa wa gavament wameijia juu kwa kua inahoji hoji mambo ya balali kila siku.

    Wengine wanadai kua una mpango wa kuzipaisha globu za jamaa zako kina nanhii ndo maana wafanya hivi ili jamaa wahamie kule

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...