Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. HUYU MKEMIA MKUU MBONA ANATUZIA HABARI KAMA MBUZI KWENYE GUNIA ANATAKIWA AELEZE JINSI ALIVYOPATA SAMPULI YA KUFANANISHA DEONUCLEOICACID (DNA) VINASABA KWA LUGHA YA TAIFA NA YA MWILI WA MAREHEMU.WAZEE WA FORENSIC STUDIES (MASOMO YA MABAKI) TUNAHITAJI MSAADA WENU.

    ReplyDelete
  2. kipanya mie nakupenda bwanaaa!!waulize WHY????WASWAHILI BWANA KWA KUPENDA DATA BILA PROVE.

    ReplyDelete
  3. Kipanya naona wewe ndo hukuwaelewa au hujui kwanini kunafanyika uchunguzi wa DNA. Ili ifanyike DNA kwanza lazima kuwe na hypothesis, hypothesis hapa ni kwamba mwili uliopatikana "YAWEZEKANA KUWA NI WENYEWE" kama ulivyosema. DNA ndio inayo prove au ku-disaprove hypothesis ili kuhitimisha...hivyo hiki kikatuni chako kimechemsha na nadhani ni bora ukakiongezea darasa kidogo.....

    Najuwa Michuzi utaibania na hii mana ndo kawaida yako kila nikituma comment

    ReplyDelete
  4. Michuzi hii nayo ibanie mana inamgusa rafiki yako KP.

    Hapa KP kachemsha na nadhani kikatuni chake kinaomba kiongezewe darasa. Ili DNA ifanyike lazima kuwe na hypothesis kwanza, na hapa hypothesis ni kwamba "MWILI ULIOPATIKANA YAWEZEKANA NI WA DEREVA" kama kikatuni kinavyosema. Sasa ili kuhitimisha, ndipo DNA inafuata ili ku-prove au ku-disaprove hypothesis. Hivyo polisi hawawezi kusema with 100% confidence kwamba mwili ni wa marehemu hadi DNA i-prove.

    Kwako TUMAINI, ukishapata mwili na kujuwa makazi ya unayemzania kufa ni rahisi kupata sample za DNA. Miswaki, nguo, taulo, nyembe, nk vinaweza kukupa sample za DNA.

    ReplyDelete
  5. Ninakuunga mkono 'ndumbanangaekamosingakamotemalobayabandekomosinga'
    hapa KP amechemsha.
    Vilevile ni lazima aelewe kuwa kuna kitu kinaitwa taarifa ya awali ambayo kwa mujibu wa Jeshi la Polisi ni kwamba wana vielelezo vya kutosha kutoa taarifa ya awali. Then matokeo ya DNA yanakuja kujumuishwa katika taarifa ya mwisho, kwani utambuzi hujuisha vitu kadhaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...