mjumbe wa kamati ya umoja wa wahariri sakina dewji akilaani kitendo cha kumwagiwa tindi kali mhariri mwenzao wa mwanahalisi saeed kubenea leo. wengine ni mwenyekiti mtendaji wa ipp reginald mengi na mwenyekiti wa misa-tan ayoub rioba
mjumbe wa kamati ya umoja wa wahariri sakina dewji akilaani kitendo cha kumwagiwa tindi kali mhariri mwenzao wa mwanahalisi saeed kubenea leo. wengine ni mwenyekiti mtendaji wa ipp reginald mengi na mwenyekiti wa misa-tan ayoub rioba

Wote mnaoonekana hapo juu tunajua mna interest zenu na mnachukua habari ya kubenea ku-achieve your aspirations.
ReplyDeleteWacheni kulaani. Shirikianeni na vyombo husika kutafuta solution ya tatizo. What really happened. Mtafutieni Kubenea msaada wa kisheria, Tafuteni pesa za kumtibu nje ya nchi ikibidi, na sio kutuonyesha sura zenu. Kubeneya needs your help and not just your sympathy.
nakubaliana na maoni ya anoy. wa 7 januari 2008 saa 7:39:oo PM. wanavyolishikia bango jambo hili kwa kutumia hivyo vyombo vyao je wana uhakika kuwa kuumizwa kwake kumetokana na uandishi au makosa/ matatizo binafsi? yeye ni binadamu kama walivyo wengine inawezekana kabisa anayo matatizo yaliyomsababishia janga hilo. ni vema wakasubiri uchunguzi wa polisi ama siyo wanaweza wakashangaa wenyewe!!!
ReplyDeleteEti subiri uchunguzi wa polisi...! Maraya mwisho wewe umesikia lini mtu akavamiwa ofisini, na mapanga, na tindikali kama wanavyosema kwaajili ya " matatizo binafsi". Huyu jamaa katishiwa sana, amekoswakoswa sichini ya mara 3. Polisi mbona sijasikia wakifanya lolote kuhusu matukio ya nyuma! Hii tabia ya kitishia maisha ya waandishi ni mbaya sana! Tusetegemee tu polisi, na poa raia wema wasaidie kutoa information. Watanzania tusiwe waoga!!!
ReplyDeleteComments mbili za mwanzo hapo juu ni very unfortunate. Inaonekana dhahiri kabisa waliozituma wanajua wanachokifanya. Nao pia wanamwaga tindikali ndani ya blog. Huko bongo iko kazi.
ReplyDeletejama ni hili libaba issa shivji ana roho mbaya kama sura yake...wadau ukiingia kumi na nane yake utamjua yeye ni mkaanga sumu....sikupendi. Michuzi nimeondoa dukuduku langu....i hate you!! Prof uwe wewe..%$#$^$% yako!!
ReplyDelete