Agosti, 1985: baba wa taifa mwalimu nyerere akiwa na waliopata kuwa waandishi wa habari wa rais. toka shoto ni sammy mdee, benjamin mkapa, hashim mbita na habibu halahala. chini ni waandishi hao pamoja na miaka walokuwa kazini. kuanzia juu shoto ni sammy mdee (1975-1979) , paul sozigwa (1968-1972), godrefy mwafongo (mwandishi msaidizi 1973-1976) , hashim mbita(1967-1968) , patrick chokala (1986-1996) , habibu halahala (1977- 1990) , ben mkapa (1973-1975) na sam mwambenja (1962-1965)









Michuzi Bongo wandishi wa habari wanaishia kuwa marais (Apart from yule mjomba wa juzi ! Choka mbaya !)
ReplyDeleteKeep up the good work
Mkapa;he was made by the man himself but he became a babylon....Fire Babylon
ReplyDeleteWe bwana unatuyeyusha,
ReplyDeleteUnadai kuanzia mwaka 1973 - 1976 alikua Godfrey Mwafongo,
Mara unadai tena mwaka 1973 - 1975 alikua Ben Mkapa,
Sasa tukueleweje?
We tuambie ukweli, kama Che - Nanihii alikua mtunza nyaraka (Store Keeper) wa huyo mwafongo si useme tu, sasa inaficha nini?
Nimemuona Mzee Mwafyongo enzi zake! kama kuna kitu kibaya alikifanya katika serikali basi KAMA NI ADHABU IMETOSHA anastahili msamaha kwani wangapi katika nchi hii walitenda makosa na wakasamehewa? JK SAIDIA HUYU MZEE WA WATU NINA IMANI HATA WEWE UKITAKA KUFAHAMU MEMA NA MABAYA YAKE WAKATI AKIWA KWENYE 'SISTIM' UNAWEZA KUYAJUA KWANI VYOMBO VYA KUKUPA TAARIFA HIZO UNAVYO!
ReplyDeleteMimi nimewashangaa sana waswahili. Wengine kwenye comments za Mwafongo za jana wanadai eti tusimseme vibaya kwa kuwa hatujui na sisi tutaishia wapi! Hiyo ni comments za mtu anayekata tamaa.
ReplyDeleteUnachotakiwa siku zote ni kuwa jasiri na usiwek uwezekano wa wewe kurudi nyuma badala ya kwenda mbele. Tunasema kwamba inawezekana huyu mzee alifanya manyago tuna maanisha kwamba sisi pia hatutaki hali hiyo ijirudie kwetu au kwa ndugu yetu yoyote.
Siyo mtu anakuja kusema eti, wananchi tusimse! Kwanini tusimseme, mtu alikuwa bonge la boss namna ile ameishia kuuza makatapera! Hakuna maelezo mengine wala maelezo mbadala zaidi ya kwamba alikuwa mzembe kupita kiwango!
Na wewe mwoga jitahidi usiishie huku. Kutakuwa hakuna excuse kwa wewe kufika huko aliko huyu. Ni uzembe tu.
Miichuzi hebu tuwekee waandishi wote hadi wa sasa hivi. Nadhani hujaweka waandishi wa karibuni
ReplyDelete