
“THE LORD IS MY SHEPHERD, I SHALL NOT BE IN WANT”
Don't grieve for me, for now I'm free I'm following the path God laid for me
IT’S A YEAR TO-DAY SINCE YOU DEPARTED PEACEFUL FROM THIS WORLD.
AS WE COMMEMORATE YOUR PASSING ON WE REMEMBER YOUR CHARM, KINDNESS AND LOVING-HEART AND CHERISH THE GOOD MOMENTS YOU SHARED WITH US.
YOU ARE DEEPELY REMEMBERED BY YOUR BELOVED PARENTS, Mr & Mr AMOS N. MADALLA, BROTHERS, SISTERS AS WELL AS IN-LAWS, RELATIVES AND FRIENDS WHOM YOU LOVED SO DEARLY
MAY YOUR SOUL REST IN ETERNAL PEACE
AMEN


Huyu mdada alitolewa tena miezi michache iliyopita wakasema katimiza mwaka, vipi tena sasa?
ReplyDeleteHalafu mbona wala hatuelezwi ni nani basi!!!!!!
ReplyDeleteJamani, Waungwana mnaomfahamu Baraka Madalla,haswa wana Dakawa Sekondari - Morogoro;
ReplyDeleteHuyu ni dada yake ama? Maana wanafanana sana na Baraka Madalla.
Baraka Kama ni Dada yako, poleni sana, Mungu awajaalie, Inshallah.
Tutafutane Dia, through this email : hot.chichi@yahoo.com.
Kila la Kheri.
Room-mate wako, Mwana Dakawa CLass of 1999.
Mungu amrehemu huko aliko.
ReplyDeleteNi kweli Juliana ameacha pengo kubwa na pia ni dada kabisa wa Baraka Madala aliyekuwa anasoma Dakawa.Na ni kweli pia picha yake ilitokea mwezi uliopita.Kwa sisi watu wa Morogoro alikuwa dada yetu wa karibu sana hasa kwa mchango wake kwa vijana na alikuwa mtu wa kawaida tu.Poleni sana Familia ya Madala popote mlipo na hasa wakazi wa Kingalu Flats na Walaiokuwa wafanyakazi wenzie popote alipofanya kazi.Sisi tulimpenda sana na Mungu wetu alimpenda zaidi.Rest in Peace dear sisy
ReplyDeleteMsiba wa Jully niliumia na mpaka sasa naandika machozi yakinimwagika imekuwa ngumu sana kwangu kulipokea hili na kila nikumbukapo tangu tukiwa watoto ujana wetu na hadi kufikia utu uzima inaniwia vigumu sana kulielewa tukio zima inaniuma sana kitu kimoja nilikupenda kama rafiki mkubwa sana lakini Mungu alikupenda zaidi jina lake libarikiwe milele,upumzike kwa amani. anyu.
ReplyDeleteKwani mauti yake yalimutaje mona hakuna anayesema?ndio tunapatwa na uchungu tukipoteza wenzetu lakini kwa habari hii wengine hatuelewi. To other eole its just another msiba can anybody volunteer to tell some of us what happened?
ReplyDelete