mkuu wa majeshi jenerali davies mwamunyange na inspekta jenerali wa polisi saidi mwema

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. MSAADA KWENYE TUTA......

    Hivi jamani, neno/Cheo "Inspector General" Hakina tafsiri yake ya Kiswahili zaidi ya "Inspekta Jenerali"?

    ReplyDelete
  2. WOW...The blue-handsome guy...mhnnn....Michuzi acha kutuzingua na kututafuta undani bwana....aaah

    ReplyDelete
  3. wazuri, warefu wamependeza ila hawana sura ya kijeshi kama enzi ya Meja Jenerali Ernest Mwita Kiaro, Inspecta Jenerali Harun Mahundi nk walie jamaa walikuwa na sura za kijeshi. sasa hawa wamekaa kisomi tuuu hawana ujeshi sijui hawakwenda vitani? lakini kwa ujumla ni watu poa sana wanaendesha jeshi kisomi ila hizo tabasamu wapunguze

    ReplyDelete
  4. Wewe uko wapi? Serikali yetu tumeamua kama si Handsome huna nafasi..Muone Kikwete, Lowassa, na yule wa mambo ya nje. Waone hao wawili...Kikwete hataki watu wanaotisha..ha ah ah..!! Lakini uelewe pia kuwa jeshi siku hizi si ubabe...ni akili..!!Vita vya sasa vinataka akili...Muone Bush na ubabe wake Iraq amefanya nini? Si ana Nuclear power? Mbona ameshindwa kumaliza vita? Akili bwana..!!

    ReplyDelete
  5. Jeshi halina chapa ya sura ya mtu.

    Msinikumbushe Makutupora JKT enzi hizo ambapo tulikuwa na Afande 'saa meja' mkuu wa nidhamu mmoja aliyepewa utambulisho wa utani wa 'Munyambirisi'. Yeye alikuwa na musitachi mrefu kuliko watu wote niliopata kuona.

    Nakumbuka siku moja tulitimua kama vichaa baada ya nywele za mustachi wake kutokeza kwenye kona kabla hata ya kiwiliwili chake kuonekana!
    Yaani kuonana na sura yake tu ilikuwa ni kosa! du!

    Uongo nilioubaini baadaye ni ule wa 'grini kwanja' mmoja aliyewahi kutuelewesha kuwa cheo cha 'Munyambirisi' ndicho kilimruhusu yeye tu kuwa na mustachi wa hivyo!

    Mkata Issue

    ReplyDelete
  6. Naona wazee wana-defend Free Kick!

    ReplyDelete
  7. Tunachojali watanzania ni utashi, nidhamu ya kazi na output! Hatuangalii sura wala tabasamu! Kwa hawa JK kacheza ila mawaziri wake duu!!! TAFAKARI!

    Ukweli hawa makamanda wanachapa kazi, siku hizi Police angalau tunalala ujambazi ulikuwa nje nje!Ukipiga simu polisi angalau unasikilizwa na wanafanya kazi ukiwapa issue. Ila Kamanda Mwamunyange itabidi avute sox kwani vijana wake bado hawajameza concept ya Jeshi la WANANCHI!

    ReplyDelete
  8. Kwa kukusaidia tu,

    INSPECTOR = MKAGUZI

    GENERAL = KWA UJUMLA/KAWAIDA/KWA UPANA

    Mi nimeishia hapo,

    labda sasa nmwengine aendelee kuanzia hapo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...