profesa benno ndulu


dk. enos bukuku

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Tunaweza kupa CV, curricullum vittae zao?

    ReplyDelete
  2. NAPENDA KUTOA PONGEZI ZANGU ZA DHATI KWA VIONGOZI HAWA WAPYA WA BOT,,
    TUNAWAOMBEA HERI NA MAFANIKIO, MUNGU AWATANGULIE KTK KAZI HII NGUMU MLIYOTEULIWA KUIFANYA,,
    MACHO YOTE YA WATANZANIA YANAWAANGALIA NYINYI KUANZIA SASA, TUNAIMANI MTATUFIKISHA MAHALA PEMA. BE BLESSED

    ReplyDelete
  3. Kazi nzuri kwa JK.Lakini angesubiri kwanza hiyo ripoti ya tume aliyoiunda.Vipi ikitokea huyo aliyekuwa naibu gavana akatajwa?
    Isitoshe alikuwa naibu,inawezekana hajui lolote kuhusu upotevu wa pesa hizo?
    Ni mawazo yangu tu!

    ReplyDelete
  4. mbona hii wakristo mmenyamaza ohh kikwete na waislam kikwete na waislam nafasi nyeti wamepewa wakristo sasa.

    ReplyDelete
  5. acha ujinga wewe anony hapo juu. raisi muslim,
    makamu wake muslim,
    waziri mkuu mkristo,
    speaker wa bunge mkristo,
    jaji mkuu mkristo,
    mkuu wa majeshi mkristo,
    mkuu wa polisi mkristo,
    mkuu wa usalama wa taifa mkristo,
    mkurugenzi wa makosa ya jinai muislam,
    mwanasheria mkuu mkristo,
    waziri wa ulinzi na makamu wake muslim,
    waziri wa usalama wa raia na naibu wake muslim,
    waziri wa mambo ya nje mkristo,
    waziri wa fedha muslim,
    waziri wa utumishi wa umma muslim,
    waziri wa elimu mkristo,
    gavana wa BoT mkristo,
    haya endelea mwenyewe hapo chini ...
    sasa sijui udini unaotaka kuuleta hapa unamaanisha nini.

    By Father Peter Ramadhani,

    Houston,TX

    ReplyDelete
  6. Acha udini we anonymous mpuuzi.Kuchokonoa chokonoa mambo tu.

    ReplyDelete
  7. Wee Anony Jan 11, 2008 2:50:00 AM, acha mambo ya udini, na kwa taarifa yako, Benki kuu kuna Gavana mmoja na manaibu Gavana watatu, ambapo wawili ni waislam na wawili wakristu! Leta hoja nyingine, achana na udini mheshimiwa! Wewe umeshakuwa mtu mzima sasa ingawa siyo ndugu zake wakina Raila Oginga Odinga! Yeboo!

    ReplyDelete
  8. He...nyinyi ujinga kibao...mambo ya dini yametoka wapi sasa?? halafu huyu Father Peter anajidai anjua dini za watu hana lolote...mfano mzuri mkuuu wa usala wa taifa ni Rashid othman, muislam haswaaaaaaaaaaa...tena wa swala tano baba wa watu...au ulimbatiza huko Houston...

    Hongereni mliochaguliwa ingawa wewe uliyekuwa naibu..pia umekula hela..

    ReplyDelete
  9. BOT inaongozwa na vifaa vikali sana. Kwa kweli hapa wachunguzi wa mambo ya uchumi mtaona jinsi gani monetary policy na bank supervision itakavyokuwa Tanzania. Tuombe tu hawa jamaa wasiambukizwe na gonjwa la rushwa. Uteuzi wao unaonyesha ni jinsi gani Tanzania ina uchungu na maendeleo ya kiuchumi.
    Gavana mpya na naibu wake ni nondo za nguvu ndani ya Bank of Tanzania.Wanastahili kupewa madaraka. Je watatekeleza wanayopaswa kuyafanya ndani ya BOT na katika uchumi wa Tanzania.
    Huyu gavana anaqualifications hata za kuwa gavana wa benki kuu ya England. Tanzania tumejaliwa. Idrissa rashi naye alikuwa kifaa lakini hatukuona alichokifanya ndani ya BOT na kwa Watanzania kwa ujumla. Kapoteza mwelekeo mara lei hii yuko TANESCO mara MD wa Akiba, anahangaika tu mchumi yule. Kwa nini asiwe kwenye wizara ya uchumi na mipango au just a consultant? Idrissa na TANESCO? SIASA WAKATI mwingine ni ngumu sana. Ahsateni kwa kuwapa hawa jamaa waiongoze BOT. Ombi langu ni kuiokoa senti 1 ya Tanzania, sio shilingi 1 senti 1 inatakiwa iwe kwenye mzunguko. Senti na shilingi zote zimepotea hata perememnde hupati bila noti.
    Senti ya Mmarekani si mnaona inavyolindwa, bei ya gas $3.27, unaona seni 27 hizo? Hapo kuna siri kali sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...