anko ndunguru (shoto) na mjomba berege ni magwiji wa sanaa za jukwaani pamoja na utengenezaji wa filamu, wakiwa ni waalimu katika kitivo cha sanaa mlimani. hapa wako kazini siku chuo cha teknolojia kilipofanya mahafali yake ya kwanza bustani ya mnazi mmoja gaden

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Bro Michu siyo chuo cha teknolojia, bali ni taasisi ya teknolojia.

    Nawakilisha

    ReplyDelete
  2. ....Ras mbona anaonekana anawasiwasi sana...kakamatwa kapokonyoa kamera nini?

    ReplyDelete
  3. Jamani huyo aliye kulia,mbona kafanana na Jean Bedel Bokassa!!!au mwanae???

    ReplyDelete
  4. Ni vile tu nabii huwa hatambulikani kwao, hawa jamaa CV zao huwa zinatisha

    Sura ya ras inaonyesha kama vile sauti ilikuwa haisikiki vizuri vile....

    ReplyDelete
  5. Jamani msaada jamani...huyu mnayemuita Mjomba Berege (to me is a big suprise) amefanana copy right na mzee wangu(R.I.P)...Sononga Berege....cha ajabu mimi mbona huyu simjui?....Hee sio rahisi watu wawili wakafanana hivi....Please get in touch....stjoe65@yahoo.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...