mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama mstaafu jenerali ernest mwita kiaro akiteta jambo na mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa sasa jenerali davies mwamunyange huko nyumbani wa jenerali kiaro, tarime, mkoani mara baada ya mazishi ya meja jenerali mwita marwa juzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mhh! Sidhani kama ni mnong'ono huo!! Lazima anamwambia mshikaji hali ni mbaya! ?Una hela yoyote hapo.....? Ndo hali halisi ya nchii hii kwa retired army officers. Uaminifu usio na maana umezidi mno.....! Bigeni ubilali kwa nguvu. Nchi hii bwana, shauri yenu..

    ReplyDelete
  2. taratibu mzee!

    ReplyDelete
  3. Mzee anataka kumbusu ..jamaa anatoa nje anona hii inaweza kuwa balaa

    ReplyDelete
  4. kichaa wangu una jelo hapo?
    MDAU, VA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...