jk akiwa na mam maria nyerere huko tarime wakati wa mazishi ya meja jenerali mwita marwa yaliyofanyika juzi katika kijiji cha mogabiri wilayani tarime.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. This is the best picture of 2008
    Mama wa Taifa yuko fit.
    Thanks Michuzi

    ReplyDelete
  2. This lady is a living example of the fact that WOMEN are Stronger/Hardy gender than MEN.Msio taka kataeni!
    Simnamuona Mama Maria yuko FIT

    ReplyDelete
  3. WATU MKIISHI SANA PAMOJA HATA SURA NAZO HUFANANA KAMA MTU NA NDUGU YAKE.
    MWANGALIENI MAMA MARIA ALIVYOMRANDA MWALIMU! KWELI DUNIANI WAWILI WAWILI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...