
Familia ya Mzee D.Kabakaki wanasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao mpendwa Renatus Kabakaki aliyafariki ghafla akiwa na umri wa miaka 30, hapa London tarehe 23/01/08.
Wazazi wa marehemu, ambao wanaishi Bukoba - Tanzania, wanawaomba watanzania kushirikiana nao katika mchango wa kufanikisha kusafirisha mwili wa marehemu kuelekea nyumbani Bukoba wiki hii.
Hivyo tunawaomba watanzania wote wanaoweza kujitolea mchango wowote wawasiliane na watu wafuatao:
Mr. Desi Kabakaki 07956-398-957
Mr. Alphonce Maduhu 07958-370-015
Ms. Patricia Visram 07830-358-179
Miss. Jessica Maduhu 07767-877-930
Iwapo mtu atapenda kuja nyumbani kwao na marehemu kushirikiana nasi katika maombolezo, anakaribishwa. Address ni
302 Strone Road,
Manor Park,London,
E12 6TP.
Tel:0208-4718-840
By bus 101,474,25 and 86
The nearest station by tube; District line (East Ham)
The nearest station by British rail; (Manor Park)
Ahsanteni kwa ushirikiano wenu
Mungu awabariki.
WEMA HAWANA MAISHA BOB MARLEY 30'S
ReplyDeleteJESUS 30'S
TUMAINI GEOFREY
Rest in peace, miaka 30 tu, mbona kaondoka mapema! Inna lillah rajiuna.
ReplyDeleteNasisi tutakufuata Renatus
Poleni na msiba. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Ingekuwa vizuri mnge post Account no as well. Wengine tunapenda kutoa anonymously via online banking bila kupiga simu na kujitambulisha.
ReplyDeletePoleni wafiwa, huu mwaka unaanza vibaya! kila kona msiba.
ReplyDeleteJAMANI HUYU TUMAINI ANANIUDHI SANA NA COMMENT ZAKE ZA KITOTO KWENYE PAGE ZA MISIBA YA WATU NINGEANDIKA VIBAYA SANA KUHUSU WEWEW ILA NA HESHIMU WATU HAPA JUZI TENA AMEANDIKA UPUUZI HUU TENA HIVI UNACHEZA NA MAISHA YA WATU PELEKA DINI YAKO HUKO HUKO
ReplyDeleteWAFIWA POLENI TUNAMUEKA MAREHEMU KWENYE DUA ZETU.WE ARE DYING SO YOUNG THESE DAYS.
ReplyDeleteRest in peace, till we meet again. Aliyetoa ndie aliyechukua.
ReplyDeletePoleni sana wafiwa Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu na ikimpendeza aendelee kuipatia familia ya marehemu furaha nguvu na afya njema.
ReplyDeleteMdau Ukerewe
poleni wafiwa, ndio kazi ya mungu, pia ushauri kwa badhi ya watanzania wenzenu wanapokua na matatizo haswa ya msiba, ni vizuri kushirikiana maana wote ni binadamu, tuwe na upendo wanadamu.
ReplyDeleteHUYO TUMAINI ANA MATATIZO YA UBONGO, HE NEED TO TAKE HIS MEDICINE SO THAT HE CAN RELAX HIS BRAIN.
ReplyDelete