Kaka Michuzi,

Mambo ya kutanua kwa baadhi ya madereva wawapo barabarni yamesababisha Bajaj kutanua mpaka mtaroni, hii imetokea leo hii 07:45 AM maeneo ya Mikocheni, barabara ya Old Bagamoyo Road.


Mkazi wa Mikocheni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kaka Michuzi hebu naomba nisaidie hili swala hapa chini maana naona hii haijakaa sawa.
    BARABARA YA OLD BAGAMOYO ROAD
    Kwa kweli hii haijakaa sawa kaka Michu maana ninauhakika kabisa hii si kwamba umeandika wewe ambaye unatuambia kuwa INGLISHI NOT RICHABO.
    Sasa nafikiri mdau aliyetuma hii picha ya babajaji inabidi acheki next time asirudie kuandika namna hii.

    Asante sana
    Willy

    ReplyDelete
  2. Hao ndo watanuaji wakubwa sana! Nadhani jamaa alimua kumbana tu kumtoa nje ili kumshikisha adabu! Wanatanua sana na kuchomea mno hao jamaa wa Bajaji

    ReplyDelete
  3. Nadhani huyo dada ndio amepindua hicho kibajaji

    ReplyDelete
  4. Salaam kwa wanalibeneke
    Braza Michu hiyo makini. Si ndio zitakazobeba wagonjwa? Mh, matanuzi mengine nayo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...