wadau kunradhi, natumai wengi mtindio wangu wa kiingilishi mnaufahamu, na sasa baada ya kuletewa barua pepe hiyo hapo chini ndiyo nimechanganyikiwa. naomba nijisalimishe kwenu enyi wadau watukufu ambao naomba mtafsiri na kama ni swali nisaidieni kujibu.
asanteni...
Dear Sir
Greetings from North Yorkshire, in England, where it is raining and cold.

I am a writer, and hope you may be able to answer a simple question for me. Many years ago in Mombasa, Kenya, I was given a kanga on which the two words ''limbukeni hajikisi'' were printed. No-one could tell me what they meant. Now, I have searched the internet and the only instance of these two words occurring together seems to be on your blog. I should be most grateful if you would be kind enough to give me an English translation.

With thanks and kind regards
Michael Gray
http://handmemytravelinshoes.blogspot.com/
http://bobdylanencyclopedia.blogspot.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. samahani, natoka nje kidogo ya mada. Ile mia tano vipi? Imekaribia? Far East.

    ReplyDelete
  2. Direct translation is: "Lunatic never feel proud". But the exact meaning is that whoever very works hard for nothing, whichever he/she archieves is never felt. Or, in other words, come what may, I am ok. or I am proud for anything, equally, I am proud for nothing!

    ReplyDelete
  3. mmmh yangu macho,hivi kumbe limbukeni ni mwendawazimu sikujua,ama kweli tembea uone.

    ReplyDelete
  4. limbukeni means somebody who have just came upon wealth or knowledge (something of value) after many people have gotten it.

    hajikisi means do not have limits. doesnt know when to stop.

    limbukeni hajikisi means somebody who have just gotten something doesnt have limit in bragging about it......or doesnt have limits in showing off

    ReplyDelete
  5. wamezidi sasa hao kununua khanga bila kujua tafsiri, wakijua michuzi blog ndo kazi yake kutafsiri khanga, huko huko madukani wawaulize ndo wanunue!! je kama wametukanwa kwenye hizo khanga!!!! booo, tumechoka kufanya kibarua che kutafsiri. wanunue za maandishi ya kimombo, mbona zipo tu.

    ReplyDelete
  6. To my understanding, a 'Limbukeni' is a person who gets into a situation/possesion in which he did not know, or have before, but since being in that situation or being in possesion of something, thinks he knows better about it more than anyone else, though actually in most cases, he/she does not know. About 'Hajikisi' I do not really know its meaning.However it is a denial of a certain situation...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...