Home
Unlabelled
mudhihir m. mudhihir
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
thank you bro kwa jitihada zako za kutupasha habari zinazojili hapa kwetu kila kunapokucha ila napenda kukupa changamoto moja kubwa kuwa tatizo la blog yako inashabikia sana habari za chama na serikali, nimeifuatilia vya kutosha na kugundua kuwa kuna mambo mengi yanayotokea huko bongo kwa mfano hili la Balali na Benki kuu au sakata la Dokta slaa na Megji, hutoi chochote kuhusiana na maswala nyeti kama hayo ila ziara za kikwete unazifuatilia kwa karibu. sio kikwete peke yake kwa ujumla vibaraka wa ccm.
ReplyDeletekupitia blog yako ingekuwa vyema uka balance au vinginevyo utuambie kuwa blog yako inatetea maslahi ya chama cha ccm something whih is very dangerous. isije nawe ukawekwa katika kundi la mafisadi kwa kutetea maslahi ya tumbo lako.
kuna matukio mabaya yanayokea kenya kama yanavyotokea tanzania lakini huwa hauyaweki ssa nashindwa kuelewa kama kweli wewe ni mzalendo halisi kwa nini uogope kuyaweka hadharani yale yanayozungumzwa na yenye maslahi kwa umma wa watanzania?
iga mfano kutoka kwa nablog wachache ambao pamoja na kwamba hawajawa promoted wakawa karibu na serikali kama ilivyo kwako lakini bado hawaogopi kusema pale mambo yanapoonekana kwenda mlama,
sema usikike, usiogope bwana michuzi, hii nchi ni ya watanzania wote ndio maana akina kubenea hawaogopi kuwaweka hadharani mafisadi wakubwa wa nchi hii.
mimi naamini kutokana na nafasi uliyonayo wewe, una nafasi kubwa ya kuwa na habari za uhakika kuhusiana na hata kile kinachoendelea ndani ya chama chako laikini kutokana na ukweli kwamba nawe umesha haribiwa akili huwezi kuyaweka wazi, tunataka habari za kizalendo, usiogope, waige akina ndesanjo na wengine.
pole sana mtaalamu wetu wa mashairi , nakumbuka mara ya mwisho tulitimba waote pale nasasani club 2005/2006 wakati timbatimba inazindua , kalala junior , choki ally nk
ReplyDeletemzee mzima sasa maadam uko fiti tuzindulie machinga sound yetu tuendelee kupeperusha kipepeo
let me be the first to comment this, but please am just curios and i do believe there are some out there who knows better and much about this. I would like to recall one of the Tanzanian radio presenter (from a very famous radio station whih host a show known as PB) he once said(it was on november or december last year if my memory tells me true)"it is obviously known and aware to Tanzanian publicity that all the previous accidents which has involved our leaders like ministers and member of parliments(including Mudhihiri)the pictures of the scene was published on different newspapers and some the TV stations has as well show some of them. But for Mudhihiri we have not seen any of them! why??? kwanini????" after i heard those words, i started to recall some the "vijiweni" posts that Mudhihiri didnt get car accident! The information was coocked! Do you get confiviced that there was no photo journalists around the area which "mheshimiwa" huyo got the accident? in maana hadi wakati anasafirishwa mpaka muhimbili hakukuwa na wapiga picha walioweza kumpiga picha na kuonyesha huo mkono ulivyoathirika? Je hakuna waandishi wa habari waliofuatilia hiyo ajali eneo la tukio na kutuonyesha jinsi gari lilivyoharibika? Je unakumbuka kulivyokuwa na mkanganyiko wa habari baina ya vyombo mbalimbali vya habari ambapo wapo waliosema alikuwa anaendesha gari mwenyewe na vingine vikidai alikuwa akiendeshwa na dereva wake?
ReplyDeleteAs i have heard ni kwamba chanzo cha mkono kukatwa sio ajali ya gari ila kuna sababu nyingine.
For those who have those info please share with us.
huwa nasikitika wabongo tunavyodanganyika kirahisi..hiyo ajali kuna wakati wana nchi tuliuliza imekaa kiusanii sanii..as hatukuonyeshwa picha hata moja ya gari alilopatia ajali,sehemu ajali ilikotokea,habari za dereva wake na kadhalika ndio maana wengi walisema jamaa alifumaniwa huko mtwara akaambiwa achague either ashike ukuta au ndio hayo yaliyomkuta...
ReplyDeleteaache kupenda vitamu lakini pole zake
Pole sana Mzee wa Mchinga.
ReplyDeleteNi vizuri kusikia maisha yanaendelea kama kawaida.
Mungu yupo.
Huyu naye awe makini katika kuchangia bungeni. Ndiye aliingiza mgenge serikali mpaka tumeishia kwa Balali. Alsishuri Zitto afungiwe, akafungikwa. Joto likapanda na morale wa hali ya juu kwa wapinzani, wakenda Mwembeyanga na kukandamiza list ya mafisadi. Ilipigwa sana na wengine kutishia kwenda mahakamani ambako hatujawona mpaka leo, lakini baadaye tumeona mambo makubwa. Naam, ni makubwa sana.
ReplyDeleteBila kutokuwa makini kwa huyu jamaa yote haya yasingetokea hata kidogo.
C C M Hahahaaaaa LOL
ReplyDeleteShughuli zingine zipi bro Michu mbona husemi unakazania nondozzz tu?? Muulize ati!!
ReplyDeletePole sana Mh. Mudhihir, Endeleza libeneke la kuwatetea wananchi wako wa Nchinga dhidi ya Ufisadi na si vinginevyo!
Mimi napenda kumjibu huyo annon wa kwanza hapo juu. Inaonyesha ni mgeni na hana hakika na analosema:
ReplyDeleteUnaweza kuwa una nadharia yako unayotaka kuhusu hii blog. Lakini kwa kweli hii ni moja ya blog nzuri kabisa ambazo ziko wazi sana na kila mtu anaweza changia. Ni kweli kwamba Michuzi kwa sababu zake mwenyewe huwa anaminya baadhi ya comments, lakini hiyo haiondoi heshima ya blog hii kuwa moja ambazo zinatembelewa sana.
Kwenye hii blog, huwezi kukuta comments kama ambazo ziko kwenye blogs zingine. Kwa mfano, utakuta kwenye blog moja watu muda mwingi wanaishia kujadilia kuhusu Ukristo na Uislamu!. nani zaidi!? Hata kama kila mtu anatakiwa aseme anachosema, kwenye blogs kama hizi huwezi ukatoka na kipengere cha Quran au biblia na kuanza kukitolea mifano ili kukihalalisha kuwa dini moja ni bora kuliko nyingine. Kuna blogs za dini ambazo unaweza kuweka humo. Ndo maana wenzangu wengi sana huwa wananiambia kuwa karibu kwenye blog...., (jina kapuni, sitaki kuwaudhi wanaopenda huko..) lakini mimi siitaki kwa kuwa huko mtu akijisikia kusema lolote lile anasema! Sisi tunataka facts na ambazo ziko direct. Siyo mawazo ya mtu kisiasa uyaweke hapa. Wangapi utawaweka hapa na utapata nini kwa kuangalia kila mtu anawaza nini kuhusu Tanzania, Uganda au Kenya?! Si itakuwa vurugu?!!! Mambo ya Kenya waachie wenyewe Wakenya, na kama unayataka utayapata kwa wingi kwenye sites kibao! Hatuwezi kujadili issues za Kenya wakati zetu ziko tele hata zingine hatujaziona! Wengi sana hatuko interested na siasa.
Kama wewe unataka siasa, au kuosha kinywa kwa kuongea lolote, nadhani hapa sipo. Zipo blogs nyingi. Nenda huko huko. Sisi wengine tunajisikia raha sana kusoma mavituz hapa. Michuzi sikufagilii ila nasema ukweli kuhusu hii sehemu. Ila na wewe acha kuminya sana comments. Matusi usiweke, hilo liko wazi.
I am thinking loudly.
Na wewe unayesema hukuona picha ya Mudhihir akiwa amepata ajabu mbona wa ajabu nawe? Unasoma magazeti gani hayo? Au UDAKU? Picha zilijaa kibao magazetini na baadaye alipowasili Muhimbili. Usisikilize radio na kubeba tu. Utaumbuka, ohh.
ReplyDeleteWatu wanadai jamaa hakupata ajali, ati alifumaniwa ndo akaadhibiwa kwa kukatwa mkono! Lo salalee! Michuzi hebu waumbue hao jamaa, weka hapa picha za eneo la ajali, gari iliyopata ajali ikionesha sehemu zilizoathirika za gari hiyo, tuwekee na nakala ya ripoti ya polisi kuonesha tukio liliripotiwa na trafiki walifika eneo la ajali kupima. Ukiweza tuwekee eye-witness account (ushuhuda wa walioiona ajali hiyo) wa watu wawili watatu hivi (vyombo vyote vilivyoripoti ajali hiyo hakuna hata kimoja kilichotaja kama kulikuwa na mashuhuda au la!). Ripoti ya hospitali usituwekee, hiyo ni siri ya mgonjwa.
ReplyDeleteMheshimiwa Michuzi naomba kutoa haja!
Mr Michuzi, naomba tafadhali sana wakati unapitia comments za watu kuwa makini maana naona wengine "Hear say" wanakuja nazo kama facts. Manano ya mtaani yako kila kona na hakuna ubaya kuyatumia ilimradi kama unaweka wazi kuwa ni habari za kusikia nasio facts. Lazima tukumbuke kuwa chombo kama blog ni powerful sana na kinaweza kikaleta patashika zikachanika nguo..... as you know information is power.
ReplyDeleteHuyo Nchinga angekuwa katutoka tungekuja na conspiracy theory kibao lakini kwa kudra za Mwenyezi tunae, tena ana sooo .... maaana hakai kimya. Kungekuwa na utata katika ajali yake angesema tu! Na kama anaogopa au anashindwa kusema .....!!!!???? (jibu unalo!)
Huyo anony anae kandia kusaka nondoooozz na kulinganisha na shughuli zingine kama kusaka ufisadi. Naomab anifafanulie uhusiano wa hivyo vitu viwili. Michu na wewe wakati mwingine vipi? Yaani comments kama nizo ingekuwa mie - "right click mouse, then press delete" halafu napiga yowe .... aya weeee!!!! Nikiulizwa nini nasema "Si nime delete comments za mtu kwa bahati mbaya!!!" From there tomorrow becomes another day with one less meaningless comment.
ReplyDeleteWahenga walisema hujafa hujaumbika. Huyu jamaa ndo alikua chokochoko.... mmmmmmmmmhhhhhh mm simo..... Nae ni fisadi au?
ReplyDeleteWajameni naomba nisaidieni kabla ya yote nini maana yake ikiandikwa LOL?naona watu wakicomment wanaandika hivyo , nitoeni mchanga wa macho mwenzenu
ReplyDeletehako ni kausemi ka wanawake hapo bongo. Kama wewe ni mwanaume usitumie utakuwa bwa bwa bwa, shauri yako
ReplyDeletemichuzi usipofuata ushauri wa huyo jamaa hapo juu umesaliti wananchi na huyo mtunga mashairi. Tafuta kwa kila hali upate picha za ajali au mashuhuda wawili hivi! La sivyo tutaendelea kuamini kwamba hayo ya kukatwa mkono ni kweli!!!!! Hata hivyo...mh naogopa!
ReplyDeleteLOL ni LAUGH OUT LOUD
ReplyDeleteLOL ni laugh out loud, but zaidi tafsiri ya kwenye mtandao,,kama ndo mtu mnawasiliana na hamuonani hivi, may be mnachat,unaandika email etc etc wanaitafsiri kama LAUGH ON LINE,,vyovyote vile but inamean mtu anacheka.....
ReplyDeleteanon. 21:12:56 tangulini kusudi ikawa na pole? mi nijuavyo kusudi haina pole, pia mchimba shimo huingia mwenyewe, na aliye juu pia mngoje chini sasa wewe ukitaka kusema aliyejuu mpandie hukohuko litakalokupata huko juu shaurilo usije lia na sisi, watakucheka wenzaaakooo.
ReplyDeleteLOL hua inatumika sana kwe chat mbalimbali,na huwa hasa inatumika wakati labda we hupendi kutumia ile emotional icon ya 'kucheka' afu we unaweka iyo LOL.
ReplyDeleteUnapochat,huwa haionekani ile icon ya kucheka baada ya kuiclick,baadala yake huja 'LOL'