Dear Friend,
Heri, Fanaka, na Baraka nyingi za mwaka mpya wa 2008! Natumaini wewe na vyote vilivyovyako mmeuanza mwaka huu kwa matumaini makubwa licha ya habari mbaya ambazo ndugu zetu wa Kenya wameanza nazo. Tuwaombe imani na hamu ya kuweza kukaa chini kama Taifa na kutatua matatizo yao, siyo kwa njia ya upanga bali kwa njia ya majadiliano ambayo y anaweka mustakabali wa Kenya mbele zaidi kuliko hamu na tamaa ya kuwa madarakani! Nitazungumza zaidi hilo kesho kwenye matangazo yangu.

Baadhi ya features kwenye tovuti yetu mpya ya http://www.klhnews.com tumeanza kuzienable na tutaendelea kufanya hivyo pole pole hadi vitu vyote vitengemae.
Sasa hivi unaweza:
- Unaweza kujiandikisha uanachama
- Kuweka sahihi kitabu cha wageni
- Kuandika maoni yako (Your Say)
- Kutoa Comments baada ya habari
Baadhi ya features ambazo zimeanza kufanya kazi ni pamoja na:
- Picture gallery
- Video of the day
- Music of the day
Features ambazo bado haziko hewani kwa sasa na zinatarajiwa kuwa hewani karibuni ni:
- Baraza la Mijadala (Forum)
- Mahali pa Kupiga soga (Chat with audio/video capabilities) kwa kutumia sauti na video.
Mojawapo ya feedback tuliyopata ni kubadilisha kidogo banner ya hapo mbele yenye nembo, hivyo tutafanyia mabadiliko kidogo hapo hasa baada ya jiwe la Bismark na Jiji la Dar kuonekana vinaelea elea. Hivyo usisite kutembelea http://www.klhnews.com kwa kadiri tunavyoendelea kufanya mabadiliko.
Tafadhali kama una maoni, wazo, ukosoaji, ombi, ushauri n.k usisite kuniandikia. mwanakijiji@klhnews.com
Asanteni.

mzee wa pori, kaka nimekubali kazi yako. Keep up the good work.
ReplyDelete