Home
Unlabelled
kibodya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Amekimbia nini Marekani?
ReplyDeletelooking good IK. Mdau wa hapo juu acha roho mbaya kwani kwenda nyumbani ni kukimbia kitu. ulimbukeni huo.
ReplyDeletemaisha magumu
ReplyDeleteAma kweli, Isaack Kibodya ni mdau wa siku nyingi, kwetu ukizingatia ndio msambazaji wa SANTURI za muziki wa kale. nahitaji kupata mawasiliano yake ya hapa, mtu watu tuliopoteana kwa muda.
ReplyDeleteHuyu kaka lakini much know sana ukikutana naye tu ..wewe ni nani, unaishi wapi, unafanya nini...Nilimshangaa sana na maswali yake.
ReplyDeletePlease try to slow down...neworking au business haviendi hivyo kabisa
Stress za ughaibuni ni kubwa sana kuliko za Bongo kwa maana hiyo BONGO is a dream vacation. Hey mlio ughaibuni chumeni huko juani mje na kilichobaki kulia kivulini, BONGO Tambarare! Bongo Anasa!
ReplyDeletemzee mzima kazi kujibandika kwenye net ! Kibodiya Umezeeka.
ReplyDeleteKaka michu huyu Kibodya ana mke? je mkewe anaitwa nani? kuna wakati nilisikia maneno ameoa msichana ambae nilisoma nae miaka ya nyuma sana. je unaweza kuniambia jina la mkewe? asante kaka
ReplyDeleteWee anonymous wa tarehe 9 vipi mwache kaka wa watu. Kwani umeambiwa hii blog ni yake!Picha iliyopigwa namaelezo yake mbona sioni tatizo! Mambo si kuzeeka na nini yanahusu nini..acha ushamba wewe..kama vipi.usimaindi vile vile
ReplyDeleteHuyo anayesema Kibodya kakimbia ulaya na aliyesema maisha magumu mbona jamaa karudi na jana tulikuwa nae. Watu wengine kupapatikia watu hata hawawajui loo! Basi kwa taarifa zenu jamaa katinga na hana noma na looking good, acheni ushamba.
ReplyDelete