Mhariri wa Mtanzania, Deodatus Balile, akiwa ameshika cheti chake cha Shahada ya Uzamili bada ya kula nondozz za Uongozi wa Biashara (MSc Business Management) nje ya Ukumbi wa Middleton katika Chuo Kikuu cha Hull nchini Uingereza. Sherehe za kuhitimu zilifanyika Alhamis ya Januari 24, 2008. asante mdau Ansbert Ngurumo kwa picha na hongera balile kwa nondozzz hizo. karibu homu uendeleze libeneke...
Home
Unlabelled
nondozzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
mambo ya nondozz hayooo.. hongera kaka, rudi home haraka ukibaki huku utaanza pata ugonjwa wa ulaya ulaya .. mabox kwa sanaaa
ReplyDeleteWe Balile wewe!! Si juzi tuulikuwa unachukua Dploma pale Chuo cha Diplomasia haya huyo Masters umemkatishia denge gani? nipe na mi hako kamchong0 n'shachoka kuikala mu Klasi mweeeee!!!
ReplyDeleteEnewei kongratulesheni.
Huyo sio mhariri wa Mtanzania,Ni mhariri wa Tanzania Daima.Hongera Balile'
ReplyDeleteFelix-USA
Hongera sana mkubwa! God bless you to enjoy the fruits of your hard earned digree.
ReplyDeleteKila lakheri katika majukumu yako.
We Felix,usijifanye mkosoaji wakati huna data.Balile alikuwa mhariri wa TZ Daima lakini baada ya kurejea bongo kutoka masomoni UK,alirudi gazeti la Mtanzania.Mhariri wa TZ Daima sasa ni Absalom Kibanda (kama sijakosea).By the way,Michuzi ni mwanahabari,so anajua alichoandika.
ReplyDeleteBalile kaniudhi. Kwa nini akasomee digrii ya uongozi na biashara uingereza wakati hata hapa Tanzania zipo zinapatikana kwenye vyuo vyetu?.
ReplyDeleteKwa nini awape mapesa yote hayo waingereza asilipe vyuo vikuu vyetu vya hapa Tanzania ambavyo vinatoa hiyo digrii pia?
Hata kama wamemlipia wafadhili kwa nini wasimlipie vyuo vyetu hapa walipie kwenye vya kwao?
Huyu Bwana nilikuwa nakula nae box hapo Tesco kwa sana tu !!
ReplyDeleteOmushaija Balile, mbona kacheti kenyewe kanafanana na kale kwa Lyatonga, ka kweli haka!
ReplyDelete