mabingwa wa zamani wa mpira wa kikapu, pazi, wakiwa zanzibar mwaka 1985

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. as far as Basketball goes in Bongo, those are legends right there...........

    ReplyDelete
  2. Lakini mbona wanafanana na mbilikimo jamani...nasikia urefu unatakiwa kuwa futi 6 au zaidi kucheza basiketibolu na sie wabongo...kila kitu fupi nyundo!!!naambiwa mipira inayotokea Korea kweli zinatubana sawasawa na zile za kimarekani zinaning'inia tuuu...

    ReplyDelete
  3. DUuuu michuzi umenikumbusha timu yangu jamani, enzi hizo gymkhana na Pazi halafu chang'ombe na Tanblacks miaka ya 1982 Acha tuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  4. True raw talents right there; bila ya nyie basketball bongo isingekuwa ilipo sasa hivi. I always wished to have Hassan Kange's speed on the court, Abbas Mansour's height, and Abdallah Aboud's looks. PAZI rocks!! I salute you guys...the Legends!. Thanks for promoting the game of basketball in TZ.

    Najiuliza sijui wangependa kumpa ushauri gani Hasheem Thabeet?.

    ReplyDelete
  5. Saleh Zonga, Thomas Shempemba, Sidney Kikenya, Ray Ndashau....etc, etc, etc Aah Pazi mwanangu:-) Ilikuwa zahma tupu kipindi hicho:-)

    ReplyDelete
  6. Hivi Siddy Kikenye yuko wapi siku hizi?.Used to watch him practice at Upanga grounds,he was very talented.

    ReplyDelete
  7. My God Michuzi, you have done it again! Umenikumbusha mbali... my Pazi team mates, wapi Abbas, wapi Haji, Wapi Thomas shem, wapi Oscar, wapi Mabadi, wapi Zonga, wapi prince Kange, wapi sidi, wapi Yusi,wapi peter Ngaiza, wapi Ray....RSVP mzee Malai our Couch!

    ReplyDelete
  8. Weweee!Michu!Truly those were the days.You just made my day!Please show us some more pics.Like how it was kabla ya Move and Pick kuchukua uwanja wetu.Nakumbuka we signed a petition kuzuia hoteli isijengwe kwa sababu it was such an important meeting point!Baade tukahamia TANESCo but sill it was never the same.Nakumbuka Hassan Mtwangi"Tiger" alivyogongwa na gari akitokea uwanjani and how PAZI were so kind!God bless PAZI THE LEGENDS wherever they are.

    ReplyDelete
  9. washikaji aliyeuliza wako wapi Abbas MANSOUR Sidney australia Sidy Kikenya Denmark Hajji toronto canada zonga hassan kange bongo tom shempemba bongo fundi kipaya sidney australia Mzee malai marehemu

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 23, 2008

    Waliosimama toka kushoto: Marehemu Mzee Malai "Mzee wa chama", Sidi Kikenya-Uingereza, Paul Nhigula-Tanzania, Hassan Kange, Salehe Zonga-Tanzania, Aziz Kateta-Tanzania, Abbas Mansoor-Australia, BJ-Hammer wa mwisho-Tanzania.Waliokaa chini toka Kushoto:Pacheli-Tanzania, Haji-Canada, Tom Shempemba-Tanzania, Dr.Hassan Mtwangi-Botswana, Abdalah Aboud-Tanzania, Raymond Ndashau-marehemu, Menradi-Tanzania, Fundi-Australia.People, if you want to know the history of Basketball and success of basketball in Tanzania back in 80's and begin of 90's find these guys and they will tell all about it. I am writing a book about Pazi and Basketball in Tanzania and Iam looking for a good cover page right now.I will lauch it when I visit Tanzania probably in the end of this year. My name is Patrick Nhigula "magazeti"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...