Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. Kuna kabito kangu kachafu kweli kamepigwa na vumbi..bro michu ikianza hii nijulishe nimpatie jacquline kazi ya kukaosha kwa gharama yoyote ile ya kuchangia jamii...hii nzuri sana najua manyangema na matoz wa bongo watajitokeza kuraise status zao

    ReplyDelete
  2. Sielewi hii itasaidia nini.. Jamani nisaidieni.

    Au ndio kuiga ya watu, Nitizame nilivyokua mrembo, nitamani, halafu nipe kitu kidogo kwa tamaa yako..

    Sioni umuhimu wake.

    ReplyDelete
  3. Its fine bro michu..let it come we are ready to support it..especially zos beauty queens of Tz

    ReplyDelete
  4. michu mi kwa haraka haraka nilijua umetuwekea Horoscopes ya leo kumbe mambo flani.

    ReplyDelete
  5. Nipeni huyo Richa

    ReplyDelete
  6. big up warembo.you girls are looking hot. michuzi hiyo soon ni lini nataka kuleta magari yangu yaoshwe na hao warembo.

    mdau bongoland

    ReplyDelete
  7. mmh warembo mwaka huu mmeamua, wengine kisura , nyie magari sio mchezo.lakini am glad that mmekuja na kitu kipya , hongereni.hayo magari mnaosha lini sasa?na wapi???

    ReplyDelete
  8. jamani namtaka huyo miss tz 2007 anioshee gari langu lini sasa?

    ReplyDelete
  9. wadau mnakuwa kama hamuelewi maana ya kamingi suni tulieni,michuzi atawajulisha.

    ReplyDelete
  10. ..this is so demeaning..and these beatiues are real dumb..sasa cudnt they do something less demeaning kama "fashion calendar"alichofanya mwenzao model petra nemcova..kuliko kuosha magari ya watu na huyo pembeni ya k-lynn ni annete nsurupia bado yupo kwenye fani!!!haya kazi kwenu walimbendwe!!!

    ReplyDelete
  11. Ningependa warembo wanioshee gari langu ila nasikitika kuwaona wakiosha gari bila gloves. Ina maana bongo hakuna gloves za kufanyia kazi kama kuosha magari, garden etc etc. hiyo charity ya kuosha magari iwanunulie warembo wetu gloves ili wasiharibu kucha zao. hata kama ni charitable work haimaanishi uharibu urembo wako..nawasilisha!!!

    ReplyDelete
  12. Yesterday, I was robbed at a traffic light!
    A young woman (presumebly one of the pictured beauties)proposes to wash my car windows while I wait at the red light while another one takes advantage of the distraction to open the back door and steal everything she can grab.
    Be warned, they are very well organized!!!
    Don't leave your doors or windows open if you drive up to a red light!
    If your windows get washed.. .. Don't look at them, they try to divert your attention.
    Please inform your friends of this new scam. They have got me 10 times already... today. Also got me 4 times yesterday, four times the day before that and six times Sunday. Saturday I couldn't find the corner they were working!!!.

    ReplyDelete
  13. UNAONA WANAJI DEMEAN,THAT'S WHAT CHARITY MEANS FOR CELEBRITY,DEGRADE YOURSELF IN THE NAME OF MONEY.HAWAENDI KUZITUMIA WAO HIZO PESA WANACHANGIA THE LESS FORTUNATE HATA MIMI NINGEKUA FAMOUS NINGE OSHA CHOO CHA MTU AS LONG AS ATANIPA PESA YA MSAADA.ALL THE BEST GIRLS MSINGE KUA HAPO KAMA SI WANANCHI WA KAWAIDA IT'S ABOUT TIME YOU GIVE BACK,NAJUA MTAWAPATA KINA BABA KWA WINGI JUST BE CAREFUL WHO YOU SAY YES TO WHEN THEY INDECENTLY PROPOSE TO YOU.

    ReplyDelete
  14. AMA KWELI MWENYE NACHO HUONGEZEWA!

    KWA MFANO WA YESU AKIOSHA MIGUU WANAFUNZI WAKE, MWAKA KESHO NAOMBA TUSHIRIKIANE TUWE NA OUTREACH YA VIONGOZI (WAKUU) WA WIZARA,IDARA NA ASASI MBALIMBALI WAOSHE BAISKELI NA PIKIPIKI ZA WANAOWAONGOZA MAANA NDIZO NYINGI(IN OUR COMMUNITY) NA USAFI WAKE PIA NI MUHIMU.
    NA WENYE MAGARI NDIO WALIPIE HIYO HUDUMA MAANA NDIO WANATIMUA VUMBI ZAIDI!!


    NYAKATAKULE UNYILISYA ECHALO

    ReplyDelete
  15. JAMAA ALIYEFIKIRIA HAKA KA IDEA ANA UPEO MDOGO.

    TANGIA LINI MREMBO AKAOSHA GARI LITAKATE???

    WAREMBO WANAWEZA KUFANYA FASHION SHOW FOR COMMUNITY DEVELEPMENT E.T.C

    ReplyDelete
  16. MH...HUU NI UBAGUZI SASA, KWA NINI WAWAWEKE WANAWAKE PEKE YAO? WATUWEKEE NA VISERENGETI BOIZ JAMANI KWA SISI WANAWAKE TUVIONE..SASA SISI WADADA TUKIFIKA PALE TUANZE KUOSHEWA NA K-LYN HALAFU NDO IWEJE SASA? HUO UBAGUZI WALLAH..WEKENI WAKAKA WA NGUVU KAMA KINA TERENCE (SIJUI NIMEPATIA JINA?), BEN KINYAIA (MH!!), YANI VIVULANA VYOTE VIZURI..SIJUI MNANIELEWA??

    HALAFU KWELI MJE MUOGANAIZI NA VIONGOZI KAMA JAKAYA, SUMAYE,MZEE RUKSA, KINA MALECELA, SALIM AHMED NA WENGINE WAOSHE MAGARI TUCHANGIE HOSPITALI BWANA...

    WAOSHA VINYWA KARIBUNI, KAZI KWENU...

    ReplyDelete
  17. Wee anon wa Tuesday, January 29, 2008 12:21:00 umenichekesha sana!! Kweli mwenzangu mwenye nacho huongezewa, sasa sie tusio na magari sijui tutaoshewa nini jamani na hawa warembo..mhuu..

    ReplyDelete
  18. KAMA UNA NDINGA NENDA UCHI UKAOSHWE.

    ReplyDelete
  19. We annon Jan 11:32 unasema unataka wanaume wazuri?!1 Hiyo nayo kituko haijawahi tokea. Wanaume wote wazuri ndo maana huajwahi sikia shindano la wanaume wazuri popote.

    Kwenye list hii ya wanawake warembo huwa haina maana kwamba ni wazuri. Inategemeana. Mwanamke anaweza kuwa na uzuri wa sura na asiwe na mvuto wowote. Wengi wa hao unaowaona hapo juu. Ni wachache sana utawakuta wazuri pia wana mvuto.

    ReplyDelete
  20. Anon wa 30, 2008 10:59:00, sio kweli kwamba wanaume wote ni wazuri, inavyoelekea wewe ni mwanamke na umezoea kuona kuwa wanaume wote ni wazuri, nahisi kwa kujiachia huwezekani maana kila umuonaye mzuri, wanaume ni wabaya na ndo maana kuna mashindano ya wanaume wabaya!! ha ha ha ha haaaa..bisha tuone!!!

    Kuhusu wanawake hapo juu kuwa hawana mvuto sio kweli, wee una kijiba cha roho wewe!! na inavyoelekea wee ni mbaya na umbo la simba, unalijua eeh? juu mkubwaaaaa...chini mdogooo!! na vitako viduuuuchu!! yani balaa.. ha ha haa!!!

    Ujue utake usitake bwana, Mungu kuna sehemu unaona kabisa kuwa kapendelea, wadau nadanganya? kuna watoto wa kike ukiwaona hata wee mwananke mwenzake tu unashika shavu na unageuka mara mbilimbili!! wee acha tu!!! msije mkaniita msagaji tu hapa, ha ha ha!!

    Kwenye list hiyo hapo woote warembo sana,na wana mvuto, wewe tu na kiroho papo chako!!

    ReplyDelete
  21. Napenda kupingana na annon 30 2:26 naamini hajalewa maelezo ya annon Jan 30 11:32.

    Wakati ni kweli kuna wanawake warembo, siyo wote wana mvuto. Neno mvuto kwa kiingereza ni sexy! Not every beautful lady is sexy! Ndiyo maana yake. Hapo kwenye list sitaki kuwataja kwa majina, lakini K-Lynn kwa mfano ana sifa zote mbili na nyingine zaidi. Lakini Miss Tanzania kabla ya huyu punjab wa mwaka jana, ndo kiboko kwa kuwa na umbo la vurugu, lenye mvuto mkali sana sana!

    Na wewe kama mwanamke, ni kweli, anaweza pita mwanamke mwenzako mbele yako na uka-freeze ambapo wanaume tunakuwa confused! Ni kawaida. Lakini anaweza akapita mwanamke mwenye sura nzuri sana, wala asikuvutie.

    In short, unaweza ukawa mwanamke mbovu au usiwe na sura ya kuvutia lakini ukawa na mvuto mkubwa sana kwa watu wa aina yote kutokana na shape (umbile lako) au unaweza ukawa na sura nzuri sana ukawa shapeless na usivutie.

    Ni vitu vya kawaida kabisa hivyo na tunaishia navyo mitaani. By the way mimi ni dume la mbegu, si mwanamke kama unavyonibeza hapo juu.

    ReplyDelete
  22. Wewe Annon Jan 30 2:26 wanawake wote wazuri si warembo! Uzuri na urembo ni tofauti.

    ReplyDelete
  23. Mjomba,nilifurahi kuziona foto za "MaMiss" wa TZ wakiosha magari. mjonba wangu ningefurahi kama ungetupatia foto zao wakiwa wanafagia barabara za bongo!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...