uncle michuzi sie wadau wa sweden tunapenda kuungana na watanzania wenzetu kusherehekea sikukuu ya mapinduzi zanzibar, na tulikuwa huko nyumbani juzi tu hii ni picha yetu tulipiga tukiwa huko, muungano udumu tunawatakia sikukuu njema

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Wazazi wenu wakibeba mabox huko wawewanakumbuka na kujenga nyumba huku au hata kurekebisha hiyo maana hilo dirisha hata hewa haiingii vizuri na joto hili mtakufa

    ReplyDelete
  2. hongera mbeba mabox kwa kuwapeleka watoto bongo, wale vumbi kidogo ili wapate kinga.

    ReplyDelete
  3. Jamani madirisha mbona za kibongo?
    vipi 'dabo glezingi'hamjasikia?
    ahh lakini watoto wazuri?

    ReplyDelete
  4. Jamani msishangae,huyu mdau wa sweeden amejitahidi,hapo ni kijijini kwao,ndio maana hayo madirisha mnayaona madogo,mnakua kama hamzijui nyumba za vijijini?halalafu mwenzenu kijijini ameweka mpaka makochi na vitambaa!!anastahili pongezi kuwapeleka watoto wa ulaya kijijini.

    ReplyDelete
  5. Michuzi,
    Nadhani mdau hapo kaboronga, maana fanicha zote za ulaya zinajulikana kama zimetoka kampuni ya IKEA au 'flat pack' toka China ambazo utafanya DIY(Do It Yourself) kwaku unanisha skurubu na nati mwenyewe ili upate fanicha.
    Hizo fanicha ktk picha za dogo hao ni za pale kwa wachongaji fanicha Gerezani DSM, Manzese au Changombe ambazo ni imara kweli kweli kuliko za IKEA au Flat pack za China.
    Huku ugaibuni tunazitamani kweli kweli maana zaweza kudumu miaka 20 hivyo zitafutiwe soko ughaibuni kwa mtindo wa 'flat pack Tanzania.
    Mdau wa
    Helsinki
    Finland

    ReplyDelete
  6. wee ndondo hapu juu....picha ime pigwa Tanzania...read before u decide to comment imbecile....

    ReplyDelete
  7. hiyo picha bila kusema inajulikana kama ni bongo kwa hayo madirisha na stile ya kuweka vitambaa juu ya makochi

    ReplyDelete
  8. Wabongo kwa majungu huwawezi.

    ReplyDelete
  9. Lakini kweli watoto wanafanana na 'Henrick Larson'!!!

    ReplyDelete
  10. We Michuzi mbona umebania koment yangu wewe.
    Tulikuambia mwaka huu 2008 acha UKUDA, kumbe bado hujaacha. we vipi wewe!?!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...