wadau kunradhi. kutokana na maombi ya wengi nimelazimika kufungua tena geti la salamu za mwaka mpya pamoja na picha katika globu hii ya jamii. nimeambiwa januari ndo mwezi wa kutuma na kupokea salamu, nami nikiwa tarishi wenu sina jinsi ila kusalimu amri. kwa mdomo mwingine ni kwamba nitaendselea kupokea salamu hadi mwisho wa mwezi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. watu wengi wamelalamika umewabania salamu zao kama mimi nimejikatia tamaa siku hizi labda uwe maarufu ndio salamu zako zinawekwa hapa hata haya malalamiko najua utatoa lakini sio muhimu nilikuwa nakutumia ujumbe wewe iliukufikie kazi njema

    ReplyDelete
  2. hebu kaka michuzi naomba utuelekeze jinsi ya kuweka picha zetu hapo mbele na kutuma salamu za mwaka mpya mana tunashindwa kwakweli.

    ReplyDelete
  3. Bro Michuzi nimefurahi umefungua geti hili,malalamiko yangu ni kwamba either email yako hufungui au sehemu ulioweka kukutumia email haifanyi kazi au kama mdau hapo juu alivyo sema mpaka mtu uwe maarufu ndio salamu zinawekwa.Na wewe unadai ni tarishi, ninachoomba tufahamishe vipi mtu akitaka kuku contact au ili message yake uiweke ni njia zipi tupitie. Usiibane message yangu nakuomba ifanyie kazi.Labda sie wa mbali hatujui blog yako ina function vipi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...