Home
Unlabelled
tdc
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tuuu machi maelezo hadi nimeshindwa kufuata!
ReplyDeleteHuu ndio ubunifu unaotakiwa Tanzania
ReplyDeleteFree advice!
ReplyDeletetoo much information,the site put me off! Free advice..if you want to be an online trader, make your site user friendly, informative(straight to the point) and accessible. That will increase hits and retain users.
System analyst dogo
Ukerewe
HAWA NDIO WABUNIFU, INAELEKEA WAMESOMEA NIGERIA. HII INANIKUMBUSHA UPATU. TUNAKUSANYA PESA, TUNAMKABIDHI MTU MWEMA SANA YEYE ATATUFANYIA KILA KITU BILA MALIPO YOYOTE! HUU NI WEMA.DAR ES SALAAM BONGOoooooooo! hapo ndipo mtashangaa.
ReplyDeleteUSAJILI WA KLABU mmhu
UNAYEMPELEKEA PESA mmmmmh!SIJUI SIKU YA MWISHO TUTADAIANA WAPI!
Pamoja na maelezo yote, lakini bado ufafanuzi zaidi unatakiwa ili kutofautisha na "upatu" uliowahi kutokea siku za nyuma. Kwa mfano kwa mtu wa ofisini (employed) anayetaka laptop tu, akitoa Tzs. 30,000 (ada ya mwaka), halafu baada ya hapo itakuwaje, aendelee kulipia ada baada ya kupata hiyo laptop? Au ni kwa ajili ya wafanya biashara wanaonunua na kuuza kwa wingi?
ReplyDeleteHii ni pyramid tu, na ziko nyingi huku ulaya....kwa kawaida waanzilishi wanafaidi baada ya miaka kadhaa, lakini walio wengi hamna kitu, ni hela ndogo tu! Kwa TZ ni ngumu zaidi kwasababu ufahamu wa wateja (customer sophistication) uko chini sana. Hivyo kuelewana na kuwa na subira na kufuatilia kwa makini ni utata kidogo kwa bongo. Hata hivyo, mmejitahidi na endeeleni.
ReplyDelete