Waziri Mkuu Mh. Edward Lowassa akisalimiana na wafanyakazi wa Kampuni ya Tanzania Standards Newspaers (TSN) waliokuwa kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma jana kuonyesha na kutangaza shughuli za magazeti yakampuni hiyo ya Daily news, Sunday News na Habari Leo. Wafanyakazi hao kutoka kushoto ni Rahab Kibiona, Fatuma Kilinda na Regina Kumba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mhh, kuna something huko! Naomba apppointment angalau kuja kusoma kagaezti ya zamani.......!

    ReplyDelete
  2. HIS MASTERS VOICE.....HAWA HAWANA MAADILI YA UANDISHI KWANI WAO HABARI NI ZILE ZA VIONGOZI SERIKALINI NA CCM, NI HAOHAO WALOKUWA WAKIWABEZA WAPINZANI KUHUSU UFISADI BENKI KUU.

    ReplyDelete
  3. Sijawahi kumuona Michuzi akisalimiana na Viongozi wetu..Raisi, Makamu wa Raisi, waziri mkuu etc huwa mara nyingi namuona akiwa Lunch na watu wadogowadogo!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...