hesabu ya leo saa 12 na ushee za bongo kuelekea milioni 3 pamoja na zawadi ya dola 500 kesh...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 28 mpaka sasa

  1. Samahani, haiambatani; ingawa yasogeza mbele nambari kufikia mshindi!!!!

    Lakini yafaa kuyaelewa sana na kuyafuatilia kwa karibu karibu ya madini yetu.

    Tanzania tajiri kwa madini. Licha ya nickel huko mkoani Kagera, kuna pia nickel huko Nachingwea.

    Kwa maelezo zaidi, fungua: http://au.biz.yahoo.com/080122/38/1krk8.html

    Kwa kifupi:

    NACHINGWEA NICKEL JV IN TANZANIA INTERSECTS 21 METRES OF NICKEL SULPHIDE AT ZONE J AND DISCOVERS NEW SULPHIDE NICKEL ZONES.

    IMX Resource NL is pleased to report the final core assay results from the remaining 31 drill holes of the 2007 Nachingwea JV drilling program in Tanzania which were announced by Nachingwea JV partner, TSXV listed Continental Nickel Limited (“CNI”) in which IMX Resources has a substantial shareholding of 47.6%..

    In addition to intersecting Ni-Cu sulphides in followup holes at NAD013 and newly discovered
    conductor Zones H, I, J, and L (ASX: 21 November 2007 and 11 December 2007), the new drilling has also identified new Ni-Cu mineralisation at Zones G, and M.

    Of particular note is hole NAD07-069, the third hole targeting Zone J, which returned an outstanding result of 21.0 metres at 3.35% Ni and 0.46% Cu, from 30.0 metres including 7.11% Ni and 0.71% Cu over 6.35 metres.

    The Nachingwea project is a 70:30 JV between CNI and IMX Resources. In 2007, 53 drill holes totalling 10,514 metres were completed testing twelve conductive targets identified from a ground TDEM survey completed by Crone.

    The highly successful 2007 drilling program has discovered 6 significant new, near surface Ni-Cu sulphide zones in addition to the NAD013 zone discovered by IMX in 2006. It has also intersected low grade Nimineralisation from a number of other targets including F, and P. Of the 53 holes drilled in 2007, 24 have intersected sulphide mineralisation grading greater than 2% Ni, over core widths ranging between less than 1 metre and up to 21.0 metres. Downhole EM surveys have been completed and the data is currently being modelled and interpreted.

    Nachingwea Holding Structure
    IMX Resources interest in the Nachingwea project are held indirectly through a 47.6%
    interest in Continental Nickel, which holds a 70% interest in the Tanzanian JV company,
    Ngwena Limited. Ngwena is the licence holder for the Nachingwea tenements.

    IMX Resources holds a 30% direct interest in the project through a 30% interest in Ngwena. IMX Resources 30% interest is free carried up to the completion of a feasibility study or the expenditure of Cdn$15m.

    Continental Nickel can earn an additional 5% on completion of the feasibility study and a further 5% upon the expenditure of Cdn$15m.

    ReplyDelete
  2. Michuzi naweka vigil ya hii countdown I have to have my share of the money haiwezekani.

    ReplyDelete
  3. Nimejaribu UFISADI wa ku bonyeza enter mara nyingi, number zinaruka kama nini! Ukifungua post a comment, nenda juu kwenye address links weka cursor pale then bonyeza enter. Nenda chini kwenye counter uone shughuli! Kwa kweli nimegundua kuwa mtu wa 3 ml atapatikana kibahati na si kuvizia wala ufisadi! Sasa ndo kweli naamini kuwa hii ni bahati nasibu!

    ReplyDelete
  4. We born again pagan achana na madini! Sasa hivi cheza na hizo dolla za Michuzi! Madini hayo utaishia kuweweseka mpaka kaburini! Unaacha kuwania mshiko wa size yako wa Tigo hapa, unapigapiga kelele na madini ambayo sia ajabu huyajui!Shauri yako!

    ReplyDelete
  5. Tafadhali niambie, ikitokea baada ya 3,000,000 MAFISADI kama yule jamaa wa Mars wakakutumia vielelezo utafanyeje? Maana kuna watu wataalamu wa computer. Wanaweza kuibuka kibao kama bahati nasibu ya PEPSI miaka ya zamani walipoibuka watu lukuki wanadai kila mmoja million 20! Wale jamaa sijui kama hawajafa maskini! Maana hope ilipanda ghafla ya kupata mil. 20, then wakaambiwa hakuna kitu kama hicho! Mil. 20 za wakati ule sawa na mil 200 za sasa.

    ReplyDelete
  6. Anonymous confirm kama uko New Jersey...nna jamaa yangu anaitwa hivyo yuko N.J.

    ReplyDelete
  7. Bila shaka hizi Dola ni zangu safari hii - poelmart5@yahoo.com

    ReplyDelete
  8. anon wa 10:40:00 PM EAT
    mhh nimejaribu UFISADI wako nikabaki kucheka, zinaruka kweli kweli namba hizo,

    hakuna UFISADI hapa, mtakiona mshindi kihalali halali tu, au vipi michu.

    gud day.

    ReplyDelete
  9. mkuu mbona hilishindano linapanda na kushuka

    ReplyDelete
  10. NATABIRI MSHINDI ATATOKA BONGO KWA VILE HUKU SAA HV NI USK TUNAENDA KULALA NA NDO KWANZA 2993389 HVO MPK IFIKE 3ML NI USK WA MANANE HUKU NA BONGO NI ASBH MIDA YA SAA4 ASBH MSHINDI ATAPATIKANA.

    ReplyDelete
  11. sisi hapa tulishatengeneza ushindi tunasubiria tu siku ifike tutengeneze picha inayofanana fanana na current content bum! tuna-claim mshiko get ready michuzi hatukwenda shule kucheza

    ReplyDelete
  12. jamani acheni majungu!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  13. Mdau wa milioni tatu anakaribia sasa kweli omarfh@gmail.com kutoka Koreaaaaa!!!

    ReplyDelete
  14. Jamaa Arusha,

    shaqeir@yahoo.com

    ReplyDelete
  15. Jamaa Arusha

    Shaqeir@yahoo.com

    ReplyDelete
  16. Jamani ni zangu tu,

    Jamaa Arusha

    Shaqeir@yahoo.com

    ReplyDelete
  17. Hizo zangu michuzi.
    felma2001us@yahoo.com

    ReplyDelete
  18. kijidal@yahoo.com

    ReplyDelete
  19. Mdau wa milioni Tatu ni.......

    kijidal@yahoo.com

    ReplyDelete
  20. Michuzi napenda kukutaarifu kuwa mimi ndio mtu wa milioni 3. Nakutumia email. Revd. EVM

    ReplyDelete
  21. Safari hii hapana ubishi! Zawadi ya Mdau wa Milioni 3 itatumwa Gwangju, Korea ya Kusini kwa Omar, aliyeulizia kalenda ya mwaka 2008 bila kujibiwa na bila kukata tamaa. Anuani yake hii hapa omarfh@gmail.com sawa na @yahoo.com

    Ushahidi unatumwa kwa kaka Michuzi!

    ReplyDelete
  22. Michuzi, hizo US $ 500 haziwezi kwenda Tanzania kwani Abidjan nako tumeshaamka.

    ReplyDelete
  23. Hooooray!!

    Nyie jipeni MOYO tuuuuu, kwani MIKONOZzzzzzz yangu ilikuwa kwenye keyboard Usiku kucha kuwania dau, na sasa ni HAKI yangu!!

    Zaidi, Jiunge na JAMBOFORUMS.com

    Who is the daddy!! :) :) :)
    Ahsante Kaka Michu kwa GLOBU yetu!!


    SteveD.

    ReplyDelete
  24. Mdau wako wa milioni 3 ndo mimi. Nimeshakutumia EMAIL

    revdevm@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  25. Haya haya hakuna mjadala tena!Game is over now!
    Tupeane hizo pesa
    kirondo@gmail.com

    ReplyDelete
  26. michuzi vipi
    woisoje@gmail.com

    ReplyDelete
  27. michuzi mbona kimya, mshindi mbona umtangazi

    ReplyDelete
  28. michuzi, umebadili email, au?, fungua gmail account yako nimekutumia email kama 4 hivi zenye ushahidi wa kutosha
    (woisoje@gmail.com)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...