
jamaa wanaotuhumiwa kumshambulia mhariri wa gazeti la mwanahalisi saidi kubenea wakiwa mahakamani ya hakimu mkazi kisutu kusomewa mashtaka ya shambulizi hilo ambalo walikana. kesi yao imepangwa kutajwa tena februari mosi mwaka huu na wote wako rumande. kubenea amesharejea toka india alikopata matibabu kwa siku kumi na anaona kwa jaaamu..
Je, hao ni waliomshambulia kweli? Kama hivyi basi nasifia polisi Tanzania kwa kazi waliofanya. Wamepata dhamana au wataendelea kukaa Keko?
ReplyDeleteBwana Michu, mkao wali kaa hao na unyama walioufanya. Kama watapatikana na hatia ni kufunga na funguo unatupa. Wakitoka kwa msamaha wa raisi basi wakute wajukuu zangu wanalea ..... Kudadeki!
ReplyDeleteHawawezi kuwa ni hawa unless Kubeneka ni alikuwa anatafutwa kwa ugoni! Sisi tunajua an watu wakubwa sana na hawa wachovu si rahisi kabisa kuwa wamehusika. Ngoja tuone
ReplyDeleteSir ISSA VIPI KESI YA BoT JAMAA STAKE HAPA NG'AMBO WATU WASHAIJUA IKO NANANI.
ReplyDeletehawa walitumwaa hivyo lazima wamutaje nani boss wao.
ReplyDeleteMi wala hata siko kwa hao jamaa waliom-benea jamaa,
ReplyDeleteHapa hesabu zangu nawinda $500 za michuzi tu.
Biashara kwanza, mambo mengine baadae.
Jamaa-Arusha,
shaqeir@yahoo.com
Kaka michuzi namba ninayoina kwenye computer yangu ni 3000000. nimeshakutumia e-mail.
ReplyDeleteKaka michuzi, naandika tena manake naona post yangu siioni kwenye blog. computer yangu inaonyesha namba 3000000, nimeshakutumia email ambayo nime-attach picha inayoonyesha picha niliyopiga. niko hapa hapa Tanzania, Dar es salaam.
ReplyDeleteNaungana na wadau waliotafakari na kuona kuwa wanaoonekana si wale waliobuni mpango huu ila wametumwa na WAKALA wa aliebuni au na yule MBUNIFU mwenyewe. Tanzania imejaa watu walio na mioyo ya KIMAFIA!!! Nasikia tesesi kwenye JAMBO FORUMS huyu kigogo aliyebuni huu mpango katajwa!!! Mimi nawasilishs tu, fuatilieni!!
ReplyDeleteNaungana na wadau waliotafakari na kuona kuwa wanaoonekana si wale waliobuni mpango huu ila wametumwa na WAKALA wa aliebuni au na yule MBUNIFU mwenyewe. Tanzania imejaa watu walio na mioyo ya KIMAFIA!!! Nasikia tesesi kwenye JAMBO FORUMS huyu kigogo aliyebuni huu mpango katajwa!!! Mimi nawasilishs tu, fuatilieni!!
ReplyDeleteHAWA NI RAIA WA KAWAIDA TUU..WAMESHAPEWA CHAO..WALA SIO WALIOMWAGA ACID...UNACHEZA NA BONGO NINI!!! muvi tuu hiii
ReplyDeletedah wapenzi wa man u wengi wao ni wezi afadhali wa wapenzi wa "bwawa la maini" kama Profesa Michuzi. hahahahahahaha
ReplyDeletena huyo wa kati kati vipi!kwani maafande walimteka direct kutoka 'oldi traffodi'
ReplyDelete