dk. sira mamboya, katibu mkuu wa chama cha ukoma tanzania akiongea na waandishi wa habari kuhusu siku ya ukoma Duniani kushoto na kulia ni watoto waliopona ukoma Ame Juma Mohamed (13) na Sahira Adamu Hamad (11) ambao wamechaguliwa kusoma tamko la siku ya ukoma duniani katika mkutano utakaofanyika Uingereza mwaka huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Maskini mie nilizani Ukoma ulishaisha Bono siko izooooooooooooooooo kumbe bado ni tatizo dah

    ReplyDelete
  2. wewe naye anon wa 8:35:00 unaongea pumba kama ulikuwa una cha kuongea ni heli ukalale kuliko kusanifu

    ReplyDelete
  3. Wewe Anon wa 10:57:00 ndio huna cha kuongea bora hata mimi hapo juu kwa sababu wewe hata pumba za kulisha kuku huna ila unatoa usaa tu. mtu mzima ovyooo!

    Lakini seriasli nilizani Ukoma ulishatokomezwa Bongo. Kwani cha ajabu ni nini hapo? kwnai hamna magonjwa ambayo yalishatokomezwa ktk historia ya mwana adamu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...