Home
Unlabelled
valentine discotheque
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kaka nakuona hapo, ulikuwa mtoto mbichiiiiiii.lol. nus
ReplyDeletemithupu umeanza zamani mikono duu
ReplyDeleteJama eeehh,huyo hapo chini pembeni ya brother michuzi aliyeshika microphone sio Masanja Mkandamizaji kweli?
ReplyDeleteMichuzi wa pili kutoka kushoto. Enzi hizo mshambamshamba kweli na kicamera chako cha black and white picha on the spot!
ReplyDeleteKuhama kijijini kwako kumekusadia sana weye labda ungekuwa unaangua nazi mida hii
Bwana Michu naona watu wanazunguka tu badala ya kujibu swali. Hapo namuona Super Deo, Christopher Fabian, nadhani huyo mwingine ni Kalikawe.....sina uhakika muda mrefu.
ReplyDeleteBwana Michu Kumbukumbu imenijia hapo upo na shebby b, Anko bosko na Super Deo huyo mwingine kanitoka ... Mambo ya Valentine Disco mwaka uleeee.... wakati ule..... bia ilikuwa shilingi thelathini. Huyo Super Deo (Deo Mzingi) yu wapi?
ReplyDeleteMichuzi,Shabani Sato(marehemu).Bosco,Deo na Dj alikuwa mchezaji mzuri jina limenitoka-Shalamar?
ReplyDeleteAcha kuwauliza washamba maswali hayo, watajuaje?.Dj huyo Eddy Travolta aliekuwa bingwa wa breakdance miaka ya themanini mwanzoni.
ReplyDeleteKaka hapo uko na Shabban Sato,Michuzi,Super Deo,Dj Ahmed(Shalamar), na huyo mwingine nadhani ni Bosco mzee hapo nakumbuka saana enzi hizo sisi watoto wa gerezani ndio kilikuwa kiwanja cha nyumbani
ReplyDeleteJamaa amepatia kidogo lakini huyo sio ahmed Sharamar, Ni ahmedi ndio lakini alikuwa akiitwa Ahmed Robot walikuwa na duka la kuuza Kanzu za kuswalia, Misuli, Kofia za mtobo na vinginevyo katika makutano ya mtaa Swahili na Mkunguni Kushoto ni New Furahia kabla Bakhresa ajanunua Nyuma ni Club ya zamani ya Pan Africa mbele ni soko kuu Kariakoo hiyo mitaa yangu na Ahmed Close wangu ila longtime bwana michuzi mpe salamu zangu ukimuona mimi ni mtoto wa Mzee Mbegu wa Livingstone muuza Mpe salamu Gashu, Agoshi na Gesani
ReplyDelete