Hi kaka Michuzi,
nashukuru sana kwa respond yako ambayo nimeipata jana usiku saa tano za TZ. Nakushukuru kwa moyo wako wa kututumia habari mbali mbali zinazohusu nchi yetu hata na nchi za jirani. Hii inatusaidia sana na kutupunguzia hamu ya nyumbani.
Pia napenda kukushukuru sana kwa kutusaidia wakati tunapokutwa na matatizizo mbali mbali.Kuhusu tatizo la Western Union la jana pesa nilizotuma Musoma zimechukuliwa leo hasuhi.
AGAIN THANKS A LOT FOR EVERYTHING YOU DO FOR US, GOD BLESS YOU.
Greetings from Norway.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...