Eric Odhiambo
Eddie AnacletMichuzi,
Eric Odhiambo and Eddie Anaclet should both be considered for the national team. Eric has already played first team football for Dundee United in Scotland and Leicester City.(http://en.wikipedia.org/wiki/Eric_Odhiambo)(http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/teams/l/leicester_city/7163229.stm)
Eddie Anaclet plays for Oxford United (http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/sport/football/article59035.ece)
Just google their names and you can see their pictures.(Eric is in blue while Eddie is in yellow)
Just google their names and you can see their pictures.(Eric is in blue while Eddie is in yellow)
Thanx
sir lancelot du lac


Sorry but the name sound Kenyan to me.
ReplyDeleteJaluo to be specific !
Yeah hawa ni wabongo pure i know them,Ni wako brothers watano na wote wanacheza Mpira vizuri sana.Hawa wawili ni young ones wale wakubwa wanacheza timu za mtaani pale Oxford,pombe zimewaharibu.Lakini hawa wadogo ni wazuri sana wanacheza mpira mzuri.And FYI-Oxford United Team ilikuwa owned na Mtanzania baadae akaiuza lakini bado anamiliki Uwanja wao unaoitwa Kassam Stadium.Keep it up Odhiambos.
ReplyDeleteHabari wanablog, mimi nitaomba kutoka nje kidogo ya habari hii. ninabeba mabox kwa bush, nimepoteana na rafiki (ni kama ndugu) aitwae MERIAN NTUAH (mama Jessica) kwa muda wa miaka mingi sana, naomba yeyote mwenye taarifa zake anisaidie kama namba ya simu, anapofanya kazi na anapoishi. ninaarajia kuja bongo next week na ninahitaji kuonana nae.
ReplyDeletemdau hongera na shukran sana kwa link za hawa madogo.naamini wako wengi sana ila basi tu uozo wa uongozi ulikua ukiwatisha.kwani yuko wapi Albert Sengo?sasa visingizio vya Maximo vinakaribia kwisha.safi sana Kibona n Odhiambo!
ReplyDeleteEddie nilimuona kwenye TV walipocheza na Manchester united. MUTV wakasema ni mtanzania ana umri wa 20 hivi hao ndio wakuchukuwa waliposema ni mtanzania nikajiuliza ndio kwanza namsikia namuombea kila la kheri aendelee vizuri tusiwe na chuki za FAT wanaharibu soka wao wanataka kuwa ma agency wale wao pesa hilo ndio tatizo naona C.Ronaldo kaambiwa simama hapo hapo ugali vs pasta hahaha.
ReplyDeleteHii Oxford ilikuwa mwenyekiti wake ni Mtanzania pia kwaj ina la dewji sijui dewji jina la mwanzo ila hana uhusiano na dewji wa aliyekuwa simba. na pia huyo dogo mie nishawahi kumsikia sana watu wakimzungumzia na kuna mtanzania mmoja yuko wolves nitamfwatilia nitawatumia picha zake. tofauti ya hawa hawapendi kujichanganya kama hashim wa basketball hawa ni wanamichezo sio celebrety wakujitangazia waendelee hivyo hivyo ndio vizuri.
ReplyDeleteHabari Bwana Michuzi
ReplyDeleteNilikuwa naomba kutoa ushauri kuhusu namna unavytuwekea links.Kwa mfano katika habari hii link moja imetambaa kwa upana mzima wa ukurasa,inaleta kadhi flani.Nakushauri utumie kidude cha links kilichopo kwenye fremu ya kuposti kwenye blogger.com
Una uhakika kama hao jamaa ni watanzania?au unazungumzia nchi gani?
ReplyDeleteWewe bwana mdogo hapo juu unayesema Odhiambo ni jina la kikenya kwa taarifa yako Othiambo ni jina lenye asili ya ki-luo na kuna wajaluo wa kenya na wajaluo wa tanzania ni jamii moja iliyotenganishwa na mpaka uliochorwa na wakoloni.
ReplyDeleteNdio maana tunao akina Otienno, Okello, Odinga, Obama, Odhiambo tanzania..
Nadhani nimekufuta ujinga wewe na vichwamaji wengine wote.
"Kusoma si kujua kusoma na kuandika na kufanya kazi za maofisini tu, kusoma ni kuijua' dunia - Sokoine"
Atachezeaje Taifa Stars wakati nationality yake ni English na siyo Tanzania?? Refer: http://www.lcfc.premiumtv.co.uk/page/ProfilesDetail/0,,10274~37681,00.html
ReplyDeletekweli mtoto ni mbongo mseme hapa http://en.wikipedia.org/wiki/Eric_Odhiambo wachezaji tunao achana na wachezaji wa sijui mtibwa chukua watoto wanaofundishika sio hao mwingine msome hapa http://sw.wikipedia.org/wiki/Eddie_Anaclet
ReplyDeleteEric Odhiambo si mtanzania, ni mwingereza mwenye asili ya Tanzania. Alizaliwa Oxford mwaka 1989. Kaka yake Eddie ndiye aliyezalia Arusha Tanzania.
ReplyDeletehiyo kuonekana tuu hapa na c ronardo inatosha haina hata haja ya kuona mkanda wake wa video maana uwezi kumfananishana sijui mwaikimba ambae hata hajawahi kumuona c ronardo sio kucheza nae japo kumuona. watoto vifaaa, tff waite mara moja waje kucheza halafu waondoke kwenye club zao. naombeni wadau vumbueni wachezaji wengine. waje kuchezea bongo achaneni wa wachezaji wa zengwe hao wote kwanza hawana familia wala hawawazi sijui wife amefanyanini wao ni mpira tuuu tena upo kwenye damu sio hao wayeyushaji ambao hawafundishiki, hata akija wenger. wao wamemzoea mtu kama jamhuri kiwhelu ndio anaweza sio kocha yoyote mwenyewe kujua mipira. mzuka!!!
ReplyDeleteWe dogo unayetaabika na kubeba box huko kwa mzee Bush na unamuitaji Merian Ntuah... Ukweli ni kwamba Merian yupo fresh anaishi ukonga madafu kwa sasa kama ulishawahi kufika nyumbani kwao baso bado wape pale pale ingawa kwa bahati mbaya alishapoteza wazazi wake wote wawili,, Baba yake ndo alianza kufariki kwa ajali ya gari iliyotokea pale pale ukonga Madafu na alizikwa kijijini kwako KIDARU IRAMBA, na baada ya miaka kama mitatu au minne mama yake naye alitangulia mbele za haki na mazishi yake kufanyika kijijini kwa KINAMPANDA- IRAMBA,, kama unahitaji info zaidi weka email yako ntakutumia namba yake ya simu kwani sio fresh kuianika hapa hadharani.
ReplyDeleteNB:- Samahini wadau kwa kutoka nje ya mada hii.
hMICHUZI WEKA HOJA YANGU HII HUSIMINYE KAMA UNAVYOZIMINYA NYINGINE Nilizokwisha kutumia
ReplyDeleteIt's a high time SERIKALI kulitazama suala la DUAL CITIZENSHIP... JK anagalia vijana hao wanavyofanya kweli.... Siye kila aliyoko majuu kajilipiua au anaokota mabox. Tuko Professionals wengi ughaibuni.
Tanzania ina vijana wengi tu wenye vipaji nje... Wanasiasa acheni kufukiria kuwa Dual Citizenship itawaondolea ulaji... msiogope. Angalieni suala la brain drain na vijana ambao wangeweza kuitangaza nchi yetu kweye ramani ya dunia... Ingewarahisihia hata nanyie mjulikane mkikutana na wanasiasa wenzenu nje ya nchi. Leo nchi kama Nigeria, Ghana na nyingine zinajulikana sana duniani.
Huyo kijana Odhiambo ni Jaluo wa Tanzania wako wengi Musoma... Kama mtakumbuka tulikuwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi aitwaye Solomon Liani (Jaluo) watoto wake nilicheza nao. Tulikuwa na Mzee Apiyo (Ikulu- naye Jaluo) wako wengi mno. Hii mipaka iliwekwa na wazungu ni feki sana.
Mkereketwa wa Dual Citizenship
Wote tunaongea hawa jamaa kwa watu wanaliopo hapa Ukerewe na amabo wanafatilia soka wanawajua sana na wanatambulika kama "WAINGEREZA" wenye asili ya Kitanzania na Eddie ndiye alikuwa mchezaji wa kwanza mwenye asili Kitanzania kucheza FA CUP la hapa Ukerewe. Sasa tatizo linapokuja ni hapa kwa akili zenu na ufahamu wenu hawajamaa warudishe passport zao za Uingereza halafu wachukue za Tanzania ili waje kuchezea timu ya Taifa Ya Tanzania. Jibu hii ni NDOTO. KALIMANGONGA ONGARA AMESHINDWA KUCHEZEA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA KWA SABABU ZIPI JIULIZENI?????????
ReplyDeleteKAMA MNATAKA WAJE WACHEZEE TAIFA BASI MRUHUSU URAIA WA NCHI MBILI LA SIVYO MTAWASIKIA NA KUWAONA KAMA MNAVYOWAONA SASA NA KUWAPIGIA ZOGA TU KAMA KAWAIDA YETU.
Mh. Ombaomba
Huyu jamaa sio Mtanzania ila ana asili ya Tanzania..hata wewe kichwamaji mwingine uliyetoa link ya wikipedia hujui lugha au? soma hapo wameandika "he is of Tanzanian descent" angekuwa mtanzania si wangeandika 'He is Tanzanian' wakatoa hilo neno descent au ndio hukulielewa maana yake...maana yake ni ana asiliya Tanzania..kama wale jamaa wa Kariakoo wanaoitwa Wafanyabiashara wa Kitanzania wenye asili ya Asia ila sio watu wa Asia..ndio jamaa yeye ni Muingereza tu ila ana asili yetu sisi..names don't matter it' same to Brrack Obama..his name is Jaluo as well but he's American...!! for more info nendeni mkamtafute kule www.soccerbase.com ....!! So msikurupuke tuu from nowhere ati huyu ni Mtanzania...halijui na wala hana habari nalo hilo Vumbi la huku...!!
ReplyDeleteHta ingekuwa waTZ hawatufai bwana...huyo jamaa na ushambuliaje wake wote wanaousema hana goli hata moja katika proffessional career yake...huyu mwingine Eddie ni midfielder kajaa mikadi ya njano tuu kwa mafaulo sasa unadhani wanatufaa hawa..labda waje kusaidia wachezaji wa timu ya taifa kutafsiri maana hizo njemba hapo sidhani kama huwa zinamuelewa Maximo akitua fundisho hapo...nimeshaangalia mazoezi yao kadhaa yaani sometimes wanaambiwa hivi wanafanya jambo jingine kabisa maana hata huyo translator wao na yeye bomu..!! Wapelekwe hata English coz pale Sinza...
ReplyDeleteNakushukuru sana Ndugu uliniyepatia taarifa za Merian Ntuah. nimesikitika sana kujua kuwa alipoteza wazazi wote wawili. email yangu ni malilosm@gmail.com. naomba nipe maelezo zaidi ili niwasiliane nae kabla sijakwenda bongo. shukrani.
ReplyDeleten.b. wadau poleni tena kwa kutoka nje ya mada.
Hivi huyu ni mbongo au m-south? mbona mnatuchanganya?
ReplyDeletecheki hapa
http://www.oufc.premiumtv.co.uk/page/ProfilesDetail/0,,10342~32477,00.html
wabongo msitafute info toka wikipedia.Mtu yeyote anaweza ku-edit info ndani ya wikipedia.Hii link sio reliable.
ReplyDeleteKama wana asili ya kitz wanaweza kuchezea tz endapo hawajachezea uingereza.Sheria za FIFA zinaruhusu mtu aliyechezea timu ya taifa ya vijana ya nchi "X" kuchezea timu ya taifa ya wakubwa ya nchi nyingine "Y" endapo hajawahi kuchezea timu ya wakubwa ya nchi "X" mfano ni Freddie Kanoute Mfrance mwenye asili ya mali(Wazazi wake walitoka Mali)aliruhusiwa kuchezea nchi ya wazazi wake japokuwa aliwahi kuchezea timu ya vijana ya France.
Jamani hawa vijana ni Watanzania sio wakenya....Kwa wale waliosoma Sule ya msingi Mlimani kati ya miaka 1978-1986 watakuwa wanamkumbuka Mwalimu Anaclet Othiambo (Akiishi Sinza Enzi hizo).....Huyo alikuwa ndio mama yao hawo vijana Eddie na Erick
ReplyDelete