nimebahatika kugongana na wadau wa ughaibuni mc catunda (kulia) na mc sunday shomary (kulia kwangu) na msanii mkongwe robino ntilla (katoka kupiga dawa kiatu, msianze...) nyumba ya sanaa leo. bahati mbaya sunday anakitoa kesho wakati mc catunda tutakuwa naye hadi mwezi ujao. karibuni nyumbani wadau...

ps: robino ntilla anapatikana www.mzizimatours.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 33 mpaka sasa

  1. Kuna research moja inasema among vitu wanaume hawakumbuki kununua ni chupi na soksi IoI Sijui kama kweli though ila jamaa dole gumba limetokeza kulia. Huyo Sunday yuko wapi these days au ndio na monica mvumia mbona hawaonekani ukerewe huku au ndio kazi zimewaoa?

    ReplyDelete
  2. Hahahah kaka michu umeona kwenye mguu wa kushoto wa mzee mkongwe soksi imetoboka ebwana ndio

    ReplyDelete
  3. mmmmhhhh !!!!!
    mbona huyo mmoja mwenye ndala, soksi zimetoboka ? mguu wa kulia kidole kikubwa nje !!! mambo ya ughaibuni hayo. loh !!
    all the best brothers

    mdau Canada

    ReplyDelete
  4. wee michuzi nawe unajua kutafuta watu, loh !!!!
    ndiyo nini kuweka hiyo picha na mwenzio soksi zake zimetoka hivyo kwenye picha?
    I wonder kama zilikua zinatoa harufu maana ikifikia hivyo loh !
    pole kaka kwa kazi nyingi maana inaelekea uko busy mpaka unasahau kuangalia umevaa nini leo

    ReplyDelete
  5. Huyo alieenda brush viatu ana sura ya pombe, tena sio pombe ya TBS, pombe mwitu! mwangalieni mikono yake ishaanza kutetemeka.

    ReplyDelete
  6. Jamaa dole gumba nje halafu mambo gani hata nywele huchani aiseeh,na hiyo miwani uliyovaa inakufanya uonekane mzee zaidi...next time ukileta sura hapa jaribu kupendeza kidogo maana hii ni blogu ya washua...na wewe sunday unaonekana ushapata karatasi mpaka ushaenda bongo,poa sana mwanangu hakuna kurudi tena huko kwenye njaa ni vacation tuu

    ReplyDelete
  7. Yaani katika wote hapo michuzi ndo umetoka chicha! ama kweli box zinaua!! du!

    ReplyDelete
  8. wabeba mabox utawajua, hapo ka-michuzi you look very different na hao wafuta mavi/mabox. unaonekana unafanya kazi ofisini sio warehouse kama hao walala hoi.

    ReplyDelete
  9. Kaka Michuzi,
    Thanks for the posting. Mzee Robino alikuwa jirani yetu long time enzi za utoto wangu. Am glad to see his picture. Hao wanaosema socks zimetoboka tukiwavua viatu wote nyie itakuwa aibu tupu.Wengi hamna hata hizo socks pair moja Nyani haoni kundule!!!!! Way to go mzee Robino, Wishing you all the best in Life!Mungu akuzidishie maisha marefu..........

    ReplyDelete
  10. DU kweli ukerewe pagumu sana yaani hali zangu hapo du bora kaka michuzi yaani sura yake inaoneka imerelax na nguo zake safi

    ReplyDelete
  11. Huyo gumba shoto mwenye kandambili na soksi tobo inaelekea amepiga mtindi manaake atakusimama anashindwa...gani babu,kimpumu,konyagi au kangara???

    ReplyDelete
  12. Watu mlioko bongo wivu mwingi. WABEBA MABOX/ WAFUTA MAVI?!?! Tukija bongo mnatubababikia kama nini. Acheni wivu, muulizeni Michuzi (Vasco da Gama) nje sio mchezo. Tunaishi maisha mnayosoma kwenye voitabu vitukufu. Tuko bustani za Edeni.

    ReplyDelete
  13. IDIRISA CATUNDA nimesoma naye ALHARAMAIN pale mtaa wa shauri moyo

    Hivi yuko dunia gani huyu?

    -KHALFANI MRISHO, MD. USA

    ReplyDelete
  14. Kama kuna mtu ambaye hajavaa soksi iliyotoboka hata siku moja, anyooshe kidole ajitokeze hadharani tumuone. Hata Dr. Wolowvitz aliyekuwa ndie boss wa World Bank alishapigwa picha soksi zimetoboka!

    ReplyDelete
  15. nyie mnasema huyu mwenye tundu kwenye soxy tu, angalieni huyo Mc Catunda(cheki bob mafuta ya taa) ukiikuza picha vizuri utamuona, mkono wake una hali mbaya,yaani utadhani katoka kuwasha jiko la mkaaa...anyway, naona ni sababu ya kubeba sana boksi na kushikashika ile michemical ya kusafishia masakafu na mavyoo,,,,duuu jamani, narecommend utafute chemical yoyote isaidie kutoa hayo madoa,pia utumie Hand cream moja imetengezwa na Lemon, ni nzuri sana...

    ReplyDelete
  16. Annoy. January 23, 2008 7:15:00 AM EAT, Nipe kumi uoneshe kama unajali yaani wanayosoma kwenye vitabu na kuona kwenye Tv's ndio tulipo. Paradiso pekee in the mean time.
    Holla
    Central London

    ReplyDelete
  17. Du nacheka mpaka machozi hapa....kazini...hivi sisi Wabongo hatumezei....lazima we comment the negative na ku attack ( I know mimi napenda pia) but dayuuum ppl enough with attacks na dole gumba....mimi niliona hayo malapa soo...mpaka nikasoma comments zenu...ya'all crazy....WABONGO OYEEE!!

    ReplyDelete
  18. wewe ano hapo juu.
    Bustani ya eden gani usidanganye hao ambao hajafika huko na kuyaona maisha mnayoishi. Hakuna bustani wala nini, frustration tu zimewajaa. Bustani tanzania angalia alivyopozi kaka michuzi, huitaji kuuliza sio nyie kujigamba kwingi. Mnaishi kwa pay check.

    ReplyDelete
  19. Huyu fala apo juu amenishangaza, kama hutaishi kwa Pay Check utaishi kwa nini? unafanya kazi unapewa check unaishi kwa kuitumia! huko bongo ndo hamuitaji pay check maana wengi wenu mnakwiba hela ya Umma!

    ReplyDelete
  20. Hivi nyie watanzania mlioko huko africa mnadhani kila aliyeko marekani anabeba box? hayo yote maneno ya wakosaji VISA. asilimia kubwa kwa taarifa yenu tuna kazi za ofisini, tena tumesoma and we have job security! and we can speak english damit! hizo dili za bongo mbona zikiisha mnakuwa choka mbaya. na kwa nini tukija bongo mnatupapatikia kama tunabeba box na kufuta mavi? watu wengine bwana, huyo anayeongea hayo maneno usikute bado anakaa kwao. box oh box, umeshasikia tunawaomba hela ya kula. YAANI WATANZANIA WALIOKO BONGO ARE SO F***** NAIVE! YOU NEED TO GET EXPOSED TO THE REST OF THE WORLD. mkiulizwa Washington inafananaje mnajua nyie. wengine hata kenya tu hawajawahi kufika. USHAMBA TUUU!! Kaeni huko Africa mendelee kupigwa vumbi, thats where u belong!!

    ReplyDelete
  21. Tusidanganyane wewe.Kwani kuongea english ni big issue baba, people/watoto wanaongea English TZ zaidi ya nyie huko Marekani. Wanaweza kuwapapatikia labda kwa ajili ya hivyo vicent vyenu unavyovikusanya kwa kufanya kazi 24 seven. Na hapo ulipo siajabu hata huku washington mwenyewe hukujui if you don't live there or you have been there by chines bus. Na waliosoma wengi they don't talk like you. Sasa endelea tu na kufuta mavi/kubeba mabox. WANAOFANYA KAZI OFFICINE HAWATUMII LUGHA ZA F KAMA WEWE. Kwa hiyo mshamba ni wewe.

    ReplyDelete
  22. Hhahah.. huyo anayejiita Queen ambaye kajipachika cheo cha Chief Financial Officer (CFO of the confused) kweli comments zake zinaonyesha wazi jinsi gani akili yake ilivyo confused kutokana na kusafisha tako na kupiga box..

    Msitake ncheke mtanzania mie

    ReplyDelete
  23. we queen huna lolote! bwege tu na kama wewe sio yaya wa kulea matahira wa kizungu (mpokea hela za misaada kwa ajili ya hao unaowalea)
    damn you! you think surviving illegaly overseas ndo ujanja? njoo bongo uone wabongo tunavyosonga mbele na kuishi maisha mazuri na ya halali na si kibalali!
    Ole wako ujibu comment yangu hii utakiona kilichomnyima kuku kukojoa ni nini! damn u again! nina hasira na wewe! @#@$%**@#4 u

    ReplyDelete
  24. Hivi wewe queen, chief financial officer, kwanini unamdomo mchafu hivyo remember where u came from, na ushukuru huyo aliyekufadhili ukaenda huko ulaya, usiongee maneno yasiofaa baba yako mama yako akisoma haya uliyoya andika watakuwa dissapointed na wewe ( kama watakukumbuka maana inaelekea umezamia siku nyingi na hata nyumbani hukumbuki tena) FYI we live our lives normal not working 16 or more ours per day and still sruggling to get. KOMA KABISA.

    ReplyDelete
  25. Wewe said vipi kuita wengine fala, mbona kuelewa kwako kufupi, kuishi kwa pay cheki ni maana malipo yoko yote yanaenda na mtumizi. Wanao chukua za Umma ni hawo waliokupeleka huko uliko. Soma vitu na kuelewa, ndio wale wale frustration zimewajaa. Kama yule ndugu alichafua hewa kwenye hii blog.

    ReplyDelete
  26. Wewe financial officer
    Hicho cheti chako cha CNA ni hapo marekani hakikufikishi kokote. Acha kujisifia Financial officer in your dream (you wish).

    ReplyDelete
  27. AAAahhhh
    jamani mimi nilikua sijaangalia vizuri huyo bwana na ndala za njano
    yaani ukikuza hiyo picha inachekesha kweli !! loh !!!!
    kama anasoma hizi comments anaweza asitoke ndani wiki nzima
    mmmmmmhhh

    ReplyDelete
  28. We anin wa CENTRAL LONDON.
    Paradizo ???? Endelea tu kukaa kwenye hizo nyumba za council unasema paradiso na kuishi kwa hizo benefit unasahau kwenu. acha watu wanaoishi kwa jasho lao waseme/ watambe. Unajua utaishia wapi kama sio nursing home hata mafao ya uzeeni huna

    ReplyDelete
  29. poor financial Officer,
    Na wewe kweli ulikwenda kama yaya kumbe na kiingeleza umejifunzia marekani na nukuu usemi wako" tumesoma, we have job security and we can SPEAK ENGLISH". Kazana karibu utapata tuzo kama huyo mcheza sinema. Naive ni nani sasa? if that is the way you are exposing your self all the best keep it up, jitahidi sasa uongee na kifansa

    ReplyDelete
  30. Mzalendo, i am not scared of u. so whatever u have bring it on b/c i am soooo ready. kwa taarifa yako bongo nakuja kila mwezi na nimejiestablish kuliko unavyofikiria. I am not illegal in America, never been illegal. so if u think i am a looser byatch, keep thinking, b/c as u can tell i don't give a damn about your so called threat! and for the rest of yall, mnanishambulia b/c i am telling the truth! let all be honest here, who doesn't want to come to america? WHO? how come kila ukiongea na mtu bongo either anataka barua ya mwaliko wa kuja marekani au hela. Let me make this very clear i love Tanzania so very much, but when u look at it america has more opportunity for everybody, correct me if i am wrong. Everybody in America has a chance to make a difference. u work hata kama ni kuokota mavi ya mbwa, but u r guarantee to get paid and make a living. In tanzania the opportunity is presented to very few people and the majority live below the poverty line. lets talk economics now, If i ask u the figures of tanzania economy, would u honestly tell me, or utanipa figures za bwana shabani only. In America, we have displine, we move as the world move. do u get my point? so stop telling me and everybody else that tanzania maisha ni mazuri while 90% of the population live below the poverty line. i wish there were more people who think like me to make Tanzania a better place for everybody! BY THE WAY, DEODORANT IS NOT A LUXURY IT IS A NECESSITY, JAMANI PAKENI DEODORANT!!! Peace and Love

    ReplyDelete
  31. mdau wa America nakufagilia mwanangu,waambie hao wala vumbi maana ni wivu tuu hapo,na wanaota kweli kujilinganisha na hao wanaowaita wabeba box,bora hata ya kubeba box kuliko manager bongo maana bila wizi hata kula na kulala pa maana ni tabu tuu,pigeni kelele tuu wala vumbi lakini America ndio mwisho wa maneno na wala hakuna sababu ya kubishana na watu kaa nyie,nisingekuwa America ndugu zangu wangekuwa na tabu sana,nimesomesha wadogo zangu wawili mlimani na nimemjengea mama nyumba safi kwa hizo hizo kazi mnazoziita box...endeleeni na majungu na wivu ndio maana hamuendelei,life is good na tunaendelea mbele sio majungu ambayo mnayatolea kwenye hivyo vicafe mnapopata internet....njaaa tupu!

    ReplyDelete
  32. Hakuna mtu mwenye wivu, ila ni huo uongo aliotoa huyo financial officer. Uliyoyasema ni kweni sio yeye anatulea ujinga mwingi or she/he can speak english so what, kwani ni big issue.

    Financia Advicer some hizo comment za wenzio na kutuletea uongo hapa. Unaenda tz kila mwezi kwani kazi ya baba yako hiyo. Hiyo ticket ya kwenda mara moja kwa mwaka you have to book at least 5 month before ili uweze kuilipa. Huko usa tulishafika na tunajua ni jinsi gani mnaishi. Think before you give you comment

    ReplyDelete
  33. kwa kweli watu wa bongo endeleeni tu kulitumikia taifa kwa moyo. sisi huku kwa mzee bush tunaendelea kubeba box na kusonga mbele kama kawa. kwa anayehitaji barua ya mwaliko asione aibu kunijulisha. bado tunahitaji watu wa kubeba box especially wale waliomaliza mlimani na wamekosa connection za kazi. asanteni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...